Samahani lakini!

Samahani lakini!

Puffader

Member
Joined
May 8, 2013
Posts
44
Reaction score
9
Samahan kwa usumbufu najua nyie ni muhimu sana kwangu tena bila uwepo na maombi yenu nisingefika hapa nilipo na tena mara nyingi huwa mnanishauri mema siku zote na matumain yangu kwny hili mtanishauri vizur MKOJO UMENIBANA ALAFU NIPO KWENYE DALADALA HAKUNA KITUO KARIBU NIFANYE NN?
 
tumia chupa ya maji, ila ka wewe ndi binti, ndo vile tena tafuta mfuko wa Rambo
 
Hujabanwa wewe..usingekuwa na muda wa kuuliza
 
Mwe...!! maumivu ya kichwa huanza polepole... hadi viroba vije vipigwe marufuku kama bangi tutakuwa tumepoteza vijana wengi.. SAMAHANI LAKINI
 
Hujabanwa usingepata mda kuandika haya

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
Sema na konda usione haya

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Mwe...!! maumivu ya kichwa huanza polepole... hadi viroba vije vipigwe marufuku kama bangi tutakuwa tumepoteza vijana wengi.. SAMAHANI LAKINI

wamesema wakipiga marufuku viroba warejea kutumia gongo ....SAMAHANI LAKINI
 
haya bana mkuu naona unatupumzikia .
 
Back
Top Bottom