Samahani hivi ukitoka diploma unaenda degree wanaconsider na form four results pamoja na GPA za diploma

dindilichuma

JF-Expert Member
Dec 19, 2015
1,120
2,000
Naombeni msaada hapo
Lazima uwe ulikua na sifa za kusoma Diploma na kigezo cha Kwanza ni lazima uwe ulipata minimum qualification Form 4 Walau pass 4(D -4) Au credit 3(C-3)
Kuna vyuo viliwadahili wanafunzi wasio na sifa na wanadiploma.
Ukiomba AVN NACTE utaambiwa Cheti chako cha Form 4 hakikukuruhusu kusoma Diploma utapaswa kuingiza Cheti ulichoreseat au ukareseat ndio uombe AVN NACTE ukiwa na sifa
 
Masiya

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
6,517
2,000
Naombeni msaada hapo
Lazima uwe ulikua na sifa za kusoma Diploma na kigezo cha Kwanza ni lazima uwe ulipata minimum qualification Form 4 Walau pass 4(D -4) Au credit 3(C-3)
Kwa program zisizo za afya ukiwa na GPA=3 PAMOJA na D (4) unaweza kuomba na kufikiriwa. Kwa program za afya ni GPA=3.5 na Certificate of Secondary Education (CSEE) with at least five (5) passes including two credit passes in Chemistry and Biology and a ‘D’ grade in Physics.(Source: TCU admission guide 2019/2020)
 
Soulja boy

JF-Expert Member
Oct 3, 2015
271
250
Lazima uwe ulikua na sifa za kusoma Diploma na kigezo cha Kwanza ni lazima uwe ulipata minimum qualification Form 4 Walau pass 4(D -4) Au credit 3(C-3)
Kuna vyuo viliwadahili wanafunzi wasio na sifa na wanadiploma.
Ukiomba AVN NACTE utaambiwa Cheti chako cha Form 4 hakikukuruhusu kusoma Diploma utapaswa kuingiza Cheti ulichoreseat au ukareseat ndio uombe AVN NACTE ukiwa na sifa
Kumbe ii iko
 
Katabalo

Senior Member
Mar 29, 2011
115
195
Sawa sawa, na ndo guidebook zote NACTE na TCU znaelekeza hvyo, na mm huwa nazsoma sana hz guidebook kla mwaka zktoka, sasa ambapo cjui n je kuna watu wanasajiliwa hata kama hawana sifa zilzotajwa kwenye guidebook? Maana mm nlshamalza chuo ktambo sema mm huwa nasoma hzo guidebook kujua mwaka huu wanachukua ufaulu gan
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom