Wanaangalia gpa ya diploma ianzie 3.0 na kuendelea tu.hunaingia bachelor degreeNaombeni msaada hapo
3.5Wanaangalia gpa ya diploma ianzie 3.0 na kuendelea tu.hunaingia bachelor degree
Lazima uwe ulikua na sifa za kusoma Diploma na kigezo cha Kwanza ni lazima uwe ulipata minimum qualification Form 4 Walau pass 4(D -4) Au credit 3(C-3)Naombeni msaada hapo
3.0 mi ndo nipo chuo hunanibishia we hunaonekana umemaliza kitambo hata haujui
Lazima uwe ulikua na minimum qualification form 4 piaWanaangalia gpa ya diploma ianzie 3.0 na kuendelea tu.hunaingia bachelor degree
Hunanibishia ndo kitu gani mkuu3.0 mi ndo nipo chuo hunanibishia we hunaonekana umemaliza kitambo hata haujui
Nyie mnachekesha sa diploma utasomaje bila qualification ,ye kauliza kutoka dip kuingia bach vyeti vikishaangaliwa maramoja kuingia dip mana yake vimeshaqualify na kuja kuingia bach tayariLazima uwe ulikua na minimum qualification form 4 pia
Hivyo vyote vinazingatiwa lakini hasa ni cha diploma ndicho kinatazamwa sana kukupa nafasi ya kuendelea na degree.Naombeni msaada hapo
Basi we ndo huna chuoHunanibishia ndo kitu gani mkuu
Chuo umeingia mwaka gani?
Kwa uandishi wako huo hakuna chuo hapo
Naombeni msaada hapo
Kwa program zisizo za afya ukiwa na GPA=3 PAMOJA na D (4) unaweza kuomba na kufikiriwa. Kwa program za afya ni GPA=3.5 na Certificate of Secondary Education (CSEE) with at least five (5) passes including two credit passes in Chemistry and Biology and a ‘D’ grade in Physics.(Source: TCU admission guide 2019/2020)Lazima uwe ulikua na sifa za kusoma Diploma na kigezo cha Kwanza ni lazima uwe ulipata minimum qualification Form 4 Walau pass 4(D -4) Au credit 3(C-3)
Hunanibishia ndo kitu gani mkuu
Chuo umeingia mwaka gani?
Kwa uandishi wako huo hakuna chuo hapo
Kumbe ii ikoLazima uwe ulikua na sifa za kusoma Diploma na kigezo cha Kwanza ni lazima uwe ulipata minimum qualification Form 4 Walau pass 4(D -4) Au credit 3(C-3)
Kuna vyuo viliwadahili wanafunzi wasio na sifa na wanadiploma.
Ukiomba AVN NACTE utaambiwa Cheti chako cha Form 4 hakikukuruhusu kusoma Diploma utapaswa kuingiza Cheti ulichoreseat au ukareseat ndio uombe AVN NACTE ukiwa na sifa
Inategemea na kozi kama za hovyo hiyo 3 anaendaMkuu kwel ni 3.0 kwa sasa wamepunguza
Mkuu kwel ni 3.0 kwa sasa wamepunguza
Tusimbishie sana maana siku hizi vyuo viko vingi sana.Hunanibishia ndo kitu gani mkuu
Chuo umeingia mwaka gani?
Kwa uandishi wako huo hakuna chuo hapo