Samahani hivi ukitoka diploma unaenda degree wanaconsider na form four results pamoja na GPA za diploma

Sio kwel wamekukataa tu tena pale kama unandugu yako ni prof hata 2.7 gpa unaingia nimeona kwa engineering nadhani serikali wamekomaa gpa kubwa kwaajili ya idadi ya mkopo

udsm.JPG
 
Inafaa kurudia masomo matatu mkuu na kuambatanisha na cheti cha zamani...?
Lazima uwe ulikua na sifa za kusoma Diploma na kigezo cha Kwanza ni lazima uwe ulipata minimum qualification Form 4 Walau pass 4(D -4) Au credit 3(C-3)
Kuna vyuo viliwadahili wanafunzi wasio na sifa na wanadiploma.
Ukiomba AVN NACTE utaambiwa Cheti chako cha Form 4 hakikukuruhusu kusoma Diploma utapaswa kuingiza Cheti ulichoreseat au ukareseat ndio uombe AVN NACTE ukiwa na sifa
 
Mbona mnabishana kama watoto wakati mambo yako wazi kuna vigezo vya TCU alafu kuna vigezo vya ushindani, vigezo vya TCU GPA 3.0 kwa diploma na GPA 3.5 kwa diploma kozi za Afya, ukitoka hapo kuna vigezo vya ushindani ambavyo vyuo hufanya kupata wanafunzi bora hapa ndio unaweza kuwa na GPA kubwa ukakosa sababu wenzio wana GPA kubwa kuliko yako au ukawa na GPA kubwa lakini wenzio wana GPA kubwa na matokeo yao ya form iv yalikuwa mzuri au unaweza kukosa sababu kuna baadhi ya watu wanajuana na vyuo japokua wanavigezo lakini umewapita ufaulu nafasi wakapewa wao wewe ukaachwa, mfano ukifanya application UDSM wanaangalia na matokeo yako ya form four katika kukushindanisha na wengine , sio kwamba wew hauna vigezo bali wanachagua hiyo kama njia ya kupambanisha wanafunzi kusiwe na upendeleo, lakini pia ikitokea wenye ufaulu mkubwa wakachaguliwa multiple selection nafasi huwa zinabaki au kujaa kutegemea wengi wata confirm kwenda wapi, hivyo hizo nafasi kama zimebaki hata mwenye ufaulu mdogo lakini amefikia vigezo vilivyowekwa na TCU anachukuliwa kama nafasi bado zipo, chuo hakikatai wanafunzi ni kwamba wewe unakosa sababu wenzio wamefanya vizuri kuliko wewe na sio chuo lwamba kimekukataa.
 
Aisee we umewajibu vizuri nimegundua kuna watu hata kitu hakijui ila akiulizwa anajibu na anarumbana kabisa
 
Back
Top Bottom