leprincess
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 282
- 456
Ulijuaje kama n harufu ya k? Kama n kikwapa tu? Au nguo alizovaa hazikukauka? Embu acha bad perception kwa kila harufu
Nooo sio sijafanya wepesi kumjaji. Ni hisia zangu tu na hizi hisia zinakuja baada ya kumuuliza na akashindwa kujibu, Lakini kama sio kweli pia sio mbaya sana inawezekana kuna watu wanatatizo kama hilo na pengine uzi huu unaweza kuwasaidia kujua nini hasa sababu ya matatizo yao. Wala sio kwa nia mbaya ya kumdhalilsha mtu. AhsanteNadhani ulifanya wepesi sana kumjaji harufu ya k umeijuaje kma sio uwongo
Au unataka kutuaminisha harufu ya k ya demu wko inafanana na harufu ya betina gwajima embu acha zako bhana
Au harufu ya p$mb zako ina fanana na harufu ya abdallah juma
Mmh kuna watu wananuka papuchi si lazima akupanulie... Ata akisimama kawaida tu!!! Sijui ni ugonjwa!!!Harufu ya **** umeisikiaje alivyoingia?
Aliweka miguu kwenye dashboard???
Labda ni nguo zna harufu ya uvundo, si unajua mvua cku hz nguo hazikauki vzuri. .
Au viatu
Sure, Natamani aione hii post, Na ajue kuwa sikuwa na nia mbaya ndo maana mpaka nimeposti huku ili walau akiona pengine inaweza kumsaidia.Mmmh!!! Na ulimkosea kweliiii!!! Ulitakiwa kukaa kimya tu mpaka akashuka na ukaspray gari yako...
Anyway asante kwa video nzuri!!!
Post yako ilivyokaa nilitaka kukwambia hivi 'siku zote nafikiri wewe ni ke'Aah bana nani brother hapa!
Duh haya yanasemwa na mdada!Mmh kuna watu wananuka papuchi si lazima akupanulie... Ata akisimama kawaida tu!!! Sijui ni ugonjwa!!!
Kwahio wavaa chupi wananuka K?ni madhara ya kuvaa chupi hayo
Na wewe ndiye mpenda kuwaambia Serengeti boys wazame. Ni shida sana kuwa maskiniIla kuna watu wananuka asee, mtu akipita utadhani limepita gari la taka.....
Sijui chumvini watu wanazama vipi
ni madhara ya kuvaa chupi hayo
Juzi kati wakati naenda kazini nimekuta dada kasimama pembezoni mwa barabara hapo mitaa ya msewe, Akanipungia mkono ishara ya kuomba nisimame, Nikashusha kioo akaniambia anaomba lift alikuwa anaelekea Posta. Kwakuwa na mimi nilikuwa naenda ofsini nikamwmbia apande. Akafungua akakaa kiti cha mbele jirani yangu.
Alikuwa mrembo kwakweli na alipendeza sana. Lakini chakushangaza pamoja na urembo ule alikuwa na harufu moja kali sana ambayo kwa uzoefu wangu nilihisi kama ni harufu ya K**a. Lakini kwa urembo ule sikuamini kama ni K**a so ikabidi nimuulize, "Samahani dada kuna harufu naisikia, ni nini iko?".
Nilishangaa maana hakuweza kujibu na ki ukweli niliona amekosa raha ghafla. Mpaka tunafika posta akashuka na mi nikaenda ofisini. Cha kwanza nilipofika ofisini nikaingia google, nikakuta hii video jamaa wanaelezea sababu za Uke kutoa harufu mbaya na namna ya kutibu, Kwakweli nilijisikia vibaya siku nzima maana nilihisi nimemkosea sana yule dada. Kama utaisoma Post hii, Samahani kwa swali lile, na hii video hapa ni special kwa ajili yako.