Samahani dada, hiyo harufu ni ya nini?

Samahani dada, hiyo harufu ni ya nini?

Hayo mambo ya kutoa lift tulip ash at a hash Alisha humu kamchezo hako Malaya walikuwa ukifika nao posta umewapa lift wanavua nguo walidai uwape pesa nyingi la sivyo anakujazia watu umembaka na hutaki kumlipa... Aibu hiyo utaficha wapi sura! Thread hizo hamkuzisoma sababu mlikuwa hamna magari kuweni makini Sana kutoa lift...

Demu kumuambia hivyo umemsaidia Sana kwani break ya kwanza atawahi washroom kutawadha na. Kufua chupi.. Ndipo aingia ofisini bora aibu ya kwenye lift kuliko ofisini.
 
Wengi wanajua na kufahamu basi tu mkausho na kufanya makusudi. Mfano mkuu ukiwa na harufu ya kwapa lazima utaisikia tu na kujishtukia
Siamini kama hata yeye alikuwa anajua kuwa ana harufu hiyo, Maana asingetoka
 
hapa cha muhimu nilichokiona ni kwamba umekopa gari na unatoa taarifa, afu ww ni wa kwanza kununua gari kwenye ukoo wenu full stop...ngoja niendelee na kazi
 
Uzi umekaa kistory story ila kuna wengine ni ugonjwa halafu kwenda hospital wanaona aibu matokeo yake ni kujiongezea stress na aibu zaidi mbele za watu.

Nilishakumbana nao wengi wa hivyo tatizo ukijaribu kumwambia tu ugomvi unaanzia hapo,hata kama atauchukua ushauri kimya kimya ila atabaki anakuchukia milele maana hana ubavu wa kujishusha na kukushukuru kumpa njia ya kupona tatizo
Sawa dada mshauri
 
IMG_20170411_093455_412.JPG
 
Ngoma droo....
MEN-VIBAMIA
WOMEN-PAPUCHI KUNUKA..
Hapo sasa
Mmmh!!! Bora kibamia kuliko papuchi kunuka buana!!! Kibamia si lazima kila mtu ajue sasa papuchi kunuka ukikaa vibaya tu hewa ikipita maeneo hayo wa pembeni wote wanapata kiharufu
 
Dada na wewe inatoa harufu?
hapa cha muhimu nilichokiona ni kwamba umekopa gari na unatoa taarifa, afu ww ni wa kwanza kununua gari kwenye ukoo wenu full stop...ngoja niendelee na kazi
 
Uzi umekaa kistory story ila kuna wengine ni ugonjwa halafu kwenda hospital wanaona aibu matokeo yake ni kujiongezea stress na aibu zaidi mbele za watu.

Nilishakumbana nao wengi wa hivyo tatizo ukijaribu kumwambia tu ugomvi unaanzia hapo,hata kama atauchukua ushauri kimya kimya ila atabaki anakuchukia milele maana hana ubavu wa kujishusha na kukushukuru kumpa njia ya kupona tatizo
Sawa dokta [emoji23]
 
Back
Top Bottom