Fabian the Jr
JF-Expert Member
- Aug 4, 2012
- 756
- 743
Juzi kati wakati naenda kazini nimekuta dada kasimama pembezoni mwa barabara hapo mitaa ya msewe, Akanipungia mkono ishara ya kuomba nisimame, Nikashusha kioo akaniambia anaomba lift alikuwa anaelekea Posta. Kwakuwa na mimi nilikuwa naenda ofsini nikamwmbia apande. Akafungua akakaa kiti cha mbele jirani yangu.
Alikuwa mrembo kwakweli na alipendeza sana. Lakini chakushangaza pamoja na urembo ule alikuwa na harufu moja kali sana ambayo kwa uzoefu wangu nilihisi kama ni harufu ya K**a. Lakini kwa urembo ule sikuamini kama ni K**a so ikabidi nimuulize, "Samahani dada kuna harufu naisikia, ni nini iko?".
Nilishangaa maana hakuweza kujibu na ki ukweli niliona amekosa raha ghafla. Mpaka tunafika posta akashuka na mi nikaenda ofisini. Cha kwanza nilipofika ofisini nikaingia google, nikakuta hii video jamaa wanaelezea sababu za Uke kutoa harufu mbaya na namna ya kutibu, Kwakweli nilijisikia vibaya siku nzima maana nilihisi nimemkosea sana yule dada. Kama utaisoma Post hii, Samahani kwa swali lile, na hii video hapa ni special kwa ajili yako.