Sam Mahela sasa ndani ya TBC1

Sam Mahela sasa ndani ya TBC1

Acheni unafiki, wangapi wanaajiriwa serikalini bwana. Nani anapenda kufanya kazi za mkataba wa mwaka mmoja mmoja, wewe kila mwaka badala ya kufikiria kazi unawaza kurenew mkataba, mambo ya private hayo
 
Leo katika taarifa ya habari ya saa mbili usiku nimemuona mshikaji aki report kutoka TBC1

Mshikaji sasa kapotea wazi wazi.
Ni mjanja yule kule ndo nafasi ya kutoka kimaisha iliko maana kazi nyingi za kiserikali atafanya na hela kule huenda akapata kuliko alikokuwa
 
Kama una lengo la Kujenga nyumba ndani ya miaka kumi ya mwanzo wa ajira yako utayatimiza kwa job security au good salary/income?
Swali mujarab..

Security ni kulipwa "viji pesa" kwa miaka mingi ukiwa na uhuru ni mwingi na ukistaafu unapata pensheni ingawa inflation inafanya thamani ya ulichopewa iwe chini na nguvu ya kazi huna ushazeeka;

Au security ni kufanya kazi ya kasi na viwango yenye targets attached uzifikie ndani ya muda flani huku ukilipwa vizuri na baada ya muda mkataba uishe??

Kila mtu na jibu lake...kupanga ni kuchagua!
 
Bora angeenda Azam au hata star Tv huko alipoenda naweza pita miaka 2 sijafungua hiyo channel sababu vipindi vinaboa taarifa zao picha sio clear yaani ni yakizee haswaaa mara ya mwisho kuangalia Tbc kipindi cha chereko kilipokuwa hot mtangazaji sijui glory nani alivyotoka yule mtangazaji nikapotea na mie Sam hukuona nafasi hata Efm au TV1 kweliiii au ungeenda hata sibuka tv
 
Mm naona kaangalia panapo mfaa ndo maana kaenda hko,Sam mahela kafanya kupambana na hali yke.
 
Muacheni Jamaa Anatafuta Shavu Ikulu!.....Buhohela Si Yupo Huko Nowdays
 
Hyo ndo njiapanda ya kwenda ikulu,soon mtamuona anauza sura magogoni
 
Back
Top Bottom