Nadhani hata Vumilia MwashaYeye na Ofoo Saro wote waliondoka ITV
Mkuu umekataja ka Vumilia Mwasha, kana ka sauti fulani hivi sijui kakoje vile,, nakapendaaaaa!Nadhani hata Vumilia Mwasha
Hahaha,me mwenyew namuelew sanaMkuu umekataja ka Vumilia Mwasha, kana ka sauti fulani hivi sijui kakoje vile,, nakapendaaaaa!
Umeona mkuu,, basi hebu gonga japo hewani!! Na mimi nilishakufaaaaaaa!!!Hahaha,me mwenyew namuelew sana
Amedanganywa atapewa kazi Ikulu na carolite zake.Leo katika taarifa ya habari ya saa mbili usiku nimemuona mshikaji aki report kutoka TBC1
Mshikaji sasa kapotea wazi wazi.
... mwenzako anaangalia welfare yake na familia yake, unataka atufurahishe?Kapotea kabisa
Hiyo mentality ya security ndio umaskini wako.Inasemekana ajira za serikali zina security ya kazi. Labda kaona bora aende kupata huo usalama.
Kafuata mpunga (mkwanja).Sasa huyu nae kafuata nini huko?
Umeona mkuu,, basi hebu gonga japo hewani!! Na mimi nilishakufaaaaaaa!!!
Leo katika taarifa ya habari ya saa mbili usiku nimemuona mshikaji aki report kutoka TBC1
Mshikaji sasa kapotea wazi wazi.
Aende huko,mshahara ungemlipa wewe??Bora angeenda Azam au hata star Tv huko alipoenda naweza pita miaka 2 sijafungua hiyo channel sababu vipindi vinaboa taarifa zao picha sio clear yaani ni yakizee haswaaa mara ya mwisho kuangalia Tbc kipindi cha chereko kilipokuwa hot mtangazaji sijui glory nani alivyotoka yule mtangazaji nikapotea na mie Sam hukuona nafasi hata Efm au TV1 kweliiii au ungeenda hata sibuka tv
Too what extent unachosema ni sahihi ?Hiyo mentality ya security ndio umaskini wako.
Aende huko,mshahara ungemlipa wewe??
Kweli kabisa,mtu anaangalia maslai yake..hapo ipp watu kibao tu wameondoka refer kina millard ayoJibu zuri, watu wanataka kufurahishwa nafasi zao wakati mwenzao anaangalia maslai yake.