mr gentleman
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,223
- 4,679
Hapa kazi tuuu... Na bado mtaona kila rangi awamu hizi mbili mtajibebaUkuu wa wilaya kaukosa!!!
Hapa kazi tuuu... Na bado mtaona kila rangi awamu hizi mbili mtajibebaUkuu wa wilaya kaukosa!!!
yaaan mnavyompendaga,,,!!!haipitag masaa nyie jamaa wa fisiem hamjamtaja lowasa,,,aseee kweli mnamuogopa asee,,,,,wampinge kwa kipi??huo ufisad ni upi mbona hapelekwi mahakamani!,unawaacha wakina tibaijuka,chenge,,,unamganda lowasa,,,,,,,alieuza nyumba za serikali alie kamataga meli ya watu kimakosa ikatakiwa nchi iilipe hiyo kampun ya uvuvi,cjui hata kama hilo deni tushalimaliza!!!ingekuwa hakuna wa ndiooo, basi siku ile lowassa asingpita bila kupingwa! yaan within a week tayari kishakuwa mgombea, sidhani kama wangekubali kirahisirahisi ila walikubali kwa kuwa mwenyekiti kishaamua
chadema si ndio mlituaminisha lowasa ni fisadi?? au Leo mnakana?yaaan mnavyompendaga,,,!!!haipitag masaa nyie jamaa wa fisiem hamjamtaja lowasa,,,aseee kweli mnamuogopa asee,,,,,wampinge kwa kipi??huo ufisad ni upi mbona hapelekwi mahakamani!,unawaacha wakina tibaijuka,chenge,,,unamganda lowasa,,,,,,,alieuza nyumba za serikali alie kamataga meli ya watu kimakosa ikatakiwa nchi iilipe hiyo kampun ya uvuvi,cjui hata kama hilo deni tushalimaliza!!!
kunasiku walimchana live huko fb naona amejirekebisha
Alipigania ka udc naona kamepeperuka sasa akili yake imerejea
Exactly unajua wakati mwingine hawa wanahabari n wasomi wetu huwa wanajitoa ufahamu kwasababu ya njaaaIt was a shame wakati anamhoji Mch. Msigwa. Amejifunza maana watu walimsema sana
...kama ambavyo JPM atakavyopita bila kupingwa uenyekiti wa chama chetuingekuwa hakuna wa ndiooo, basi siku ile lowassa asingpita bila kupingwa! ...
kwani jana alikua anamuhoji nani?Leo naona Sam Mahela kaongoza kipindi bila ushabiki wa CCM. He has displayed at least some professionalism! He was neutral, unbiased and focused compared to when he was talking to Msigwa (MP) last time. Bravo!
kwani jana alikua anamuhoji nani?
nashukuru sana mdau,jana nimekikosa hicho kipindi.Waziri kivuli wa TAMISEMI
nashukuru sana mdau,jana nimekikosa hicho kipindi.
okey,thanks.Huwa kuna marudio just find out from ITV website
Teuzi za Udc zimeshajaa!amefanyia kazi ushauli kweli kaonesha professional flexibility