Sam Mahela leo kamudu kuendesha kipindi bila ushabiki wa kivyama

CHUAKACHARA

JF-Expert Member
Jun 3, 2011
12,357
6,422
Leo naona Sam Mahela kaongoza kipindi bila ushabiki wa CCM. He has displayed at least some professionalism! He was neutral, unbiased and focused compared to when he was talking to Msigwa (MP) last time. Bravo!
 
Waka kwa msigwa hakuwa biased alikuwa neutral. Mahojiano hutegemea na Mgeni sasa Msigwa pamoja na kuwa Chama Chake kinamuona Kichwa lakini ..... malizia mwenyewe pamoja na Mbatia. Vichwa CHADEMA ni Mnyika na Dr. Slaa.
 
Hakuna mtu wa ndiooooooo chadema
 
  • Thanks
Reactions: 999
Waka kwa msigwa hakuwa biased alikuwa neutral. Mahojiano hutegemea na Mgeni sasa Msigwa pamoja na kuwa Chama Chake kinamuona Kichwa lakini ..... malizia mwenyewe pamoja na Mbatia. Vichwa CHADEMA ni Mnyika na Dr. Slaa.
Duuuh mazuzu nchi hii hayataisha,
Yan Dr. Slaa naye yupo cdm, hizi elimuza mwendokasi kazi kwelikweli
 
Sam yuko vizuri, Hata huyu mgeni wa Leo Mbunge wa Moshi mjini yuko njema upstairs, hana ushabiki wa vyama anaongea logic, nimemkubali huyu jamaa.

Kipindi kijacho Sam amualike Lusinde Livingstone nae atoe ya moyoni kuhusu Ukawa kususa bunge
 
Leo naona Sam Mahela kaongoza kipindi bila ushabiki wa CCM. He has displayed at least some professionalism! He was neutral, unbiased and focused compared to when he was talking to Msigwa (MP) last time. Bravo!
Sam mahela humudu kipindi hicho kila leo sema wewe huwa hupendi kusikia ukweli bali unapenda kusikia yanayo kufurahisha!
 
Leo naona Sam Mahela kaongoza kipindi bila ushabiki wa CCM. He has displayed at least some professionalism! He was neutral, unbiased and focused compared to when he was talking to Msigwa (MP) last time. Bravo!
Ukuu wa wilaya kaukosa!!!
 
Ni kweli nimemwona jana alikuwa anamhoji waziri kivuli wa TAMISEMI na mbunge wa moshi mjini
Huo ndo weledi wa wandishi wa habari ambao kwakweli kila mpenda fani hii ya uandishi wa habari atautaka
Ametumia hekima na busara kwenye mahojiano yake
Hongera Sam Mahela
 
Leo naona Sam Mahela kaongoza kipindi bila ushabiki wa CCM. He has displayed at least some professionalism! He was neutral, unbiased and focused compared to when he was talking to Msigwa (MP) last time. Bravo!
kunasiku walimchana live huko fb naona amejirekebisha
 
Lusinde akija ataponda chadema ktk mazungumzo yote,hana dira wala uelekeo.
 
Back
Top Bottom