Sam Mahela leo kamudu kuendesha kipindi bila ushabiki wa kivyama

ingekuwa hakuna wa ndiooo, basi siku ile lowassa asingpita bila kupingwa! yaan within a week tayari kishakuwa mgombea, sidhani kama wangekubali kirahisirahisi ila walikubali kwa kuwa mwenyekiti kishaamua
yaaan mnavyompendaga,,,!!!haipitag masaa nyie jamaa wa fisiem hamjamtaja lowasa,,,aseee kweli mnamuogopa asee,,,,,wampinge kwa kipi??huo ufisad ni upi mbona hapelekwi mahakamani!,unawaacha wakina tibaijuka,chenge,,,unamganda lowasa,,,,,,,alieuza nyumba za serikali alie kamataga meli ya watu kimakosa ikatakiwa nchi iilipe hiyo kampun ya uvuvi,cjui hata kama hilo deni tushalimaliza!!!
 
chadema si ndio mlituaminisha lowasa ni fisadi?? au Leo mnakana?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom