Nafikiri ndugu yangu hujaelewa maana ya sisi timu ya kampeni kuweka haya mambo bayana. Jana katika uzinduzi wa kampeni za CCM, watu walilenga kuaminishwa kuwa Salum Mwalimu sio mwanaume kamili na kuwa ni shoga, hivyo kukata mzizi wa fitina kuwa sio shoga ni kuweka wazi kuwa mtu huyu ana watoto, mashoga wengi hawasimamishi hivyo hawawezi kuzalisha, hivyo Mwalim sio shoga kwa muktadha huo, asilimia 70 ya wapiga kura ni waislamu na waislamu hatupendi ufilauni, hivyo kujulikana kuwa mgombea wetu ana sifa hizo tutapoteza kura asilimia kubwa na ukija kwa asilimia 30 iliyobaki ya wakristo pia tutapoteza.
Sio kweli tunamchafua Mwalimu, kwani wewe unafikiri hizi picha nani kanipa? usiwe na mawazo mgambo, hii kazi ya kinondoni tunaijua sisi, wewe kama unaishi mbagala huwezi jua tunachopambana nacho kwenye kampeni ya nyumba kwa nyumba. Pia hakuna mtu anayechafuliwa maana hata watoto na mume wa Esther yule babu anajua status ya watoto na hana shida na hao watoto kadri kampeni zinavyoendelea tutawapandisha jukwaani kumuombea baba yao kura. Na pia Mh. Esther pia atapanda majukwaani na kumnadi mzazi mwenzie na akipata ni faida kubwa kwa watanzania na pia kwa watoto kwa ujumla.