Salum Mwalimu ana watoto, asidhalilishwe

tindo

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2011
Messages
12,890
Likes
15,013
Points
280

tindo

JF-Expert Member
Joined Sep 28, 2011
12,890 15,013 280
Jamani Siasa hizi za kuchimbana mambo ya familia ni kukoseana adabu,mambo ya faragha na familia yabaki kuwa sehemu ya familia.Hali hii inawaumiza watoto ambao hawajui "vita" hivi vya kisiasa.

Niliposikia Mwigulu Nchemba anasema atafanya siasa za kistarabu uchaguzi mdogo Kinondoni,tulidhani wanamaanisha,kumbe ni ovyoo.

Sasa hawa watoto mnaanza kuwaanika ili tu kujibu tuhuma za Wahuni wanaoacha sera na kutukana watu?Tukianza kufukua hayo mambo wengi wataaibika.

Tutaanza kuangalia mahusiano ya kuanzia Raia Namba moja mpaka diwani,tutafukua makaburi na kusema maisha yao kabla ya vyeo vyao,halafu tutasema,hawa kama familia iliwashinda ilikuwaje tumewapa nchi?Haya mambo mengine acheni,mtasababisha watu tuongee halafu Maxence Melo aanze kusumbuliwa
Mkuu barafu nashukuru kwa kuona huu upuuzi. Huwa ninamsikiliza mkuu akiwa jukwaani anasema maendeleo hayana chama, lakini ukifuatilia matendo yake ni tofauti kabisa. Siku ile Lowassa alivyooenda kumtembelea akawa anamwambia Lowassa wewe hukunitukana kwenye kampeni bali wapambe wako na Lowassa akaonyesha kukubali, hali ile ilinikwazwa ile mbaya, kwani najua kabisa hata mkulu alikuwa anapiga pushup kama kejeli kwa huyo Lowassa. Hawa ccm wanajiita ccm mpya mdomoni lakini matendo yao na siasa zao ni za kipuuzi kabisa. Kwanza nilishangaa ccm walipokuwa wanasema watafanya siasa za kistaarabu, nijuavyo ccm wanajua kabisa hawana nyota na kwa sasa hawakubaliki, hivyo mbinu yao kubwa ni siasa za kishenzi kama zinavyoonekana sasa.

Kwa sasa ccm hawana la kuuza jukwaani zaidi ya siasa za majitaka, na pindi watakapoona cdm wanapata watu ni lazima wataanza tena vitendo vya kikatili. Nakuhakikishia kwa siasa hizi haipiti wiki utasikia tayari unyama unaanza. Nawasihi cdm kila kamanda awe na simu ya smartphone ili kurekodi kitendo chochote cha kiharamia kitakachofanyika huku matukio yoyote yakiripotiwa vituo vya polisi ili kuweka kumbukumbu sawa.
 

whitehorse

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2009
Messages
2,298
Likes
3,542
Points
280

whitehorse

JF-Expert Member
Joined Aug 29, 2009
2,298 3,542 280
Aliyekuja kutetea ndo kaharibu zaidi, ni bora angeeleweka ni msela tu kuliko haya mapya.
Mkuu mimi nahisi ameandika ili kuharibu kha
Ndio nini sasa kuanika habari nyeti kwa kivuli cha kutetea ? Huyu anamponda Salum Mwalimu. Huyu ametoka kwenye benchi la fitna na uchafuzi.
 
Joined
Jan 23, 2018
Messages
66
Likes
83
Points
25

mbarakamsati

Member
Joined Jan 23, 2018
66 83 25
Mkuu mbona unazunguka Salum Mwalim kazaa na mhe ,Ester Matiko mbunge wa Tarime mjini na niweke sawa kidogo hawajakutana Tarime kwenye uchaguzi mdgo bali walikutana IFM ,wakati Ester nasoma degree ya kwanza na Salum anafanya masters wakati huo akiwa mtangazaji wa Chanel ten ,but all in all haya ni maswala ya kibinafsi zaidi hayahusiani sana nafasi anayoomba ,Ila wana kinondoni huyu jamaa anatufaa kuwa mbunge wetu akiacha kazi vodam ya mshahara mkubwa akaja kwenye siasa akiwa halipwi hata mia ,kwhyo ni mtu anae jali wanyonge kuliko welfare yake binafsi
 

Don Clericuzio

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2017
Messages
3,341
Likes
6,139
Points
280

Don Clericuzio

JF-Expert Member
Joined Dec 8, 2017
3,341 6,139 280
Mkuu unaweza kuta hii ni kambi ile ile inajifanya kujibu tuhuma huku inadhalilisha.

Planned.
Mkuu mimi nahisi ameandika ili kuharibu kha
Ndio nini sasa kuanika habari nyeti kwa kivuli cha kutetea ? Huyu anamponda Salum Mwalimu. Huyu ametoka kwenye benchi la fitna na uchafuzi.
Kuna post hiyo hapo hata mimi nimewaza kama hivi ulivyowaza mkuu.

Hizi mbinu zipo sana.
 

Kadhi Mkuu 1

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2015
Messages
6,222
Likes
4,562
Points
280

Kadhi Mkuu 1

JF-Expert Member
Joined Feb 4, 2015
6,222 4,562 280
sio kudharirisha ni kuweka rekodi sawa. wewe unafirikiri ni vyema wanaposema mgombea wetu anajihusisha na mapenzi ya jinsia moja ndio maana hana mke?

o
Swala la mtu kufir..w halihusiani na kutokuwa na familia. Salum Mwalim hana familia ila ana watoto wanakaa kwa mwanamke aliyezaa nae ambaye mumewe hana nguvu za kiume kama ulivyosema. La msingi ni kwamba HANA FAMILIA ANAYOKAA NAYO.
 

Forum statistics

Threads 1,203,451
Members 456,762
Posts 28,113,906