johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,035
- 142,137
Hili jambo tumekuwa tukilisema kila Wakati kwamba wakati wa kupiga kura tuliweka tiki √ kwenye jina la Shujaa Magufuli na jina la Mh Samia
Na kwa Pamoja wakapata Ushindi wa 84%
Ikumbukwe pia 2020 Rais Samia ndiye aliyefanya kampeni karibu nchi mzima tofauti na Shujaa Magufuli
Na iwe kwenye kumbukumbu huko kwenye kampeni mh Samia hakupambana na Salum Mwalimu bali alipambana na Tundu Lisu kama ambavyo Salum Mwalimu alikuwa akipambana na Shujaa Magufuli
Naomba ieleweke Mgombea Mwenza wa uRais wa JMT ni Rais pia ndio sababu anaitwa Mgombea Mwenza vinginevyo angekuwa anateuliwa tu kama Waziri Mkuu
Mungu wa mbinguni awabariki!