Salum Mwalimu ana watoto, asidhalilishwe

CCM huwa wanahoja za kipumbavu ndio maana tunaitwa shithole countries kwa sababu ya type ya siasa kama hizi!!

Siasa za kuchafuana kwa maana hiyo mtulia ataenda kuwakula wanakinondoni wote, ni wananchi wametukanwa kama hawana akili watamchagua ili waliwe na kutiwa!

Siasa hizi hadi US zipo, kasome AUDACITY OF HOPE cha Obama. Siasa ni siasa tu, ndio maana unaambiwa ukiwa mwanasiasa usiruhusu kupigwa picha ukiwa 'bafuni'
 
Bila kuathiri mada;

Siasa hizo kuwa Marekani haimaanishi kuwa ni sawa. Haimaanishi na sisi tuzitetee.

Kwa kutumia mfano huo huo wa kitabu cha Obama, pamoja na kutuonesha siasa hizo chafu, kitabu chake kimelenga kutuonesha kuwa unaweza kufanya siasa za sera peke yake na ukashinda. Waache wanaokuchafua waendelee, usibishane nao wala usishuke chini kuwa level yao...ongelea sera zako!

Hicho ndo cha kujifunza...

Baada ya kusema hayo tuendelee na mada.

NB: Kina Nixon waliofanya siasa chafu historia imetuonesha walipoishia. Tujifunze kuwa na siasa safi, siasa za sera. Tuwaogope sana wanasiasa wanaofanya siasa za kuchafuana.
 
Siasa zetu mkuu hizi ni za kuziangalia tu.
 
ndio maana walipotaka kuleta siasa chafu ooh, ni shoga ndio maana hajaoa wala hana watoto sisi tukaamua kuweka ukweli wazi ili watu wasidanganywe.
 
nzi wa kijani siku wakitoswa na polisi kusaidiwa ndiyo watachanganyikiwa kwa sasa wao wanaona poa tu kufanya ujinga woooote chini ya jua
 
Nafikiri ndugu yangu hujaelewa maana ya sisi timu ya kampeni kuweka haya mambo bayana. Jana katika uzinduzi wa kampeni za CCM, watu walilenga kuaminishwa kuwa Salum Mwalimu sio mwanaume kamili na kuwa ni shoga, hivyo kukata mzizi wa fitina kuwa sio shoga ni kuweka wazi kuwa mtu huyu ana watoto, mashoga wengi hawasimamishi hivyo hawawezi kuzalisha, hivyo Mwalim sio shoga kwa muktadha huo, asilimia 70 ya wapiga kura ni waislamu na waislamu hatupendi ufilauni, hivyo kujulikana kuwa mgombea wetu ana sifa hizo tutapoteza kura asilimia kubwa na ukija kwa asilimia 30 iliyobaki ya wakristo pia tutapoteza.

Sio kweli tunamchafua Mwalimu, kwani wewe unafikiri hizi picha nani kanipa? usiwe na mawazo mgambo, hii kazi ya kinondoni tunaijua sisi, wewe kama unaishi mbagala huwezi jua tunachopambana nacho kwenye kampeni ya nyumba kwa nyumba. Pia hakuna mtu anayechafuliwa maana hata watoto na mume wa Esther yule babu anajua status ya watoto na hana shida na hao watoto kadri kampeni zinavyoendelea tutawapandisha jukwaani kumuombea baba yao kura. Na pia Mh. Esther pia atapanda majukwaani na kumnadi mzazi mwenzie na akipata ni faida kubwa kwa watanzania na pia kwa watoto kwa ujumla.
Duh! Kazi ipo!
 
Back
Top Bottom