Salt n pepa! Enzi ya enzi

Kwangu mm hawa ndio the best female rappers to ever walk on earth.
Ukiacha hawa kuna Queen Latifa, Yule Dem wa Non Chalant,Eve, Miss Eliot na wengine ktk Old School.
Hakuna cha Mainstream rappers kama akina Nick Manaj, nk.
Yuko lage wa snoop dogg
 
Nilimkubali sana marehemu Lisa, dem flan hivi alikuwa na confidence kwa alichokuwa anakifanya. Muziki uliimbwa zamani maana hata radha yake mpaka leo unaifeel
 
Reactions: BAK
Baada ya kuwa kimya kwa zaidi ya miaka 15 hawa TLC wawili wameamua kutoa album yao nyingine ambayo wanadai itakuwa ya mwisho.

Pengo lake litakuwa kubwa sana kwenye hiyo album. Maana chemistry haitokamilika.
 
Reactions: BAK
She was the heart of TLC, without her TLC is not the same.

Nilimkubali sana marehemu Lisa, dem flan hivi alikuwa na confidence kwa alichokuwa anakifanya. Muziki uliimbwa zamani maana hata radha yake mpaka leo unaifeel
 
Huku Salt N Paper, huku TLC kule Tevin Campbell pale kati Shabba Ranks na upande wa kushoto Maxi Priers!
Hapo kwenye Shabalanks ndio umetikisa ubongo zaidi, mzee wa "kibumbu mee"
Huwa nawaza ma producer wa kipindi hicho ni viungo vipi walikuwa wanaweka kuhakikisha muziki haufi au kuchuja ladha haraka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…