Karibu chamani, hapo pa kinyozi ndio ujipange, uende kwa wazoefu lasivyoNaam na mimi nataka kunyoa nibaki na short hair.
Nahahaje kwenye kufikiria kumpata kinyozi atakayeninyoa vizuri?
Uwiiiiiiii!
/ TexturizerHii yapili nzuri lkn kaweka nini zikawa na mawimbi?
Natamani kunyoa ila cjajua style nzuri
Ahaaa ngoja nijaribuHiyo mawimbi Ni wave, alafu Kwenye kuchana ndo kazivuta kidogo hivyo,
Mi sielewi jamaniTexturizering/ Texturizer
Hahahhh sorry I meant texturizingMi sielewi jamani
Naam na mimi nataka kunyoa nibaki na short hair.
Nahahaje kwenye kufikiria kumpata kinyozi atakayeninyoa vizuri?
Uwiiiiiiii!
May be sheamoisture curl enhancing smoothie hebu jarbu kuigugoView attachment 424706View attachment 424707. Hii pia nmeipenda ila sijajua katumia curl cream ipi kufanya nywele kuwa hivi
Oh dear,nilinyoa Karucee.Nifah, ulifanikiwa mama?
I want short hair too.
Any suggestions??
Ngoja nii Google aseeMay be sheamoisture curl enhancing smoothie hebu jarbu kuigugo
natamani uni pm kapicha lkn Mimi ni ke nikuambie mapema usije pata wasiwasiOh dear,nilinyoa Karucee.
Sijui nikuambie vipi vile ambavyo nimekuwa karembo.
Short hair raha yake sikia tu kwa wengine.
Nyoa my dear,you'll never regret.Mimi nimenogewa hadi sitaki kusikia mambo ya kusuka tena.
BTW kuna thread tulijadili sana kuhusu hili la short hair,aliianzisha kui
Ilikuwa inahusu jinsi models walivyorock kwenye onesho la Victoria's secret na short hair,jaribu kuitembelea.
ngoja nitatafuta niliyopiga from behindnatamani uni pm kapicha lkn Mimi ni ke nikuambie mapema usije pata wasiwasi
Fanya hvyo hata kisogo nionengoja nitatafuta niliyopiga from behind
Thanks. I want short curly hairOh dear,nilinyoa Karucee.
Sijui nikuambie vipi vile ambavyo nimekuwa karembo.
Short hair raha yake sikia tu kwa wengine.
Nyoa my dear,you'll never regret.Mimi nimenogewa hadi sitaki kusikia mambo ya kusuka tena.
BTW kuna thread tulijadili sana kuhusu hili la short hair,aliianzisha kui
Ilikuwa inahusu jinsi models walivyorock kwenye onesho la Victoria's secret na short hair,jaribu kuitembelea.
Jaman..me too nataman sana kunyoa ad sina hamu ya kusuka tena..changamoto styl gani nitaeka my short hair...Thanks. I want short curly hair
Oh dear,nilinyoa Karucee.
Sijui nikuambie vipi vile ambavyo nimekuwa karembo.
Short hair raha yake sikia tu kwa wengine.
Nyoa my dear,you'll never regret.Mimi nimenogewa hadi sitaki kusikia mambo ya kusuka tena.
BTW kuna thread tulijadili sana kuhusu hili la short hair,aliianzisha kui
Ilikuwa inahusu jinsi models walivyorock kwenye onesho la Victoria's secret na short hair,jaribu kuitembelea.
Low cut ndio habari ya mjini mpendwa, ukishanyoa utanitafuta kuniambia ni jinsi gani unajisikia huru.Bora umenitia moyo manake breastfeeding imeninyonyoa nywele najiuliza kunyoa.
Mdogo wangu usirudie tena kuandika hivi maana umenitamanisha mnoo ilhali nina malengo bado ya kuwa na nywele ndefu kwa miaka kadhaa....ukweli nimekusoma nikatamani week end ifike niende kwa kinyozi.Low cut ndio habari ya mjini mpendwa, ukishanyoa utanitafuta kuniambia ni jinsi gani unajisikia huru.
Jamani nywele zinachosha hata sijui huwa tunazing'ang'ania za nini.
Yani sasa hivi nikiwa natoka nikiingia bafuni wakati wa kuoga naziosha huko nikimaliza nachana tu na kuzipaka mafuta tayari kwa mtoko...kama enzi za primary maisha yalipokuwa mazuri bila stress
Ila nywele sasa...uende saloon, ukirudi unaoga kama una kidonda kichwani maji yasiingie
Hahahahahaaaaa
Karibu chamani mpenzi... Nasubiri feedback like