Salon za short hair kwa wadada

Kunyoa hutegemea kichwa na kinyozi pia, unaweza nyolewa ujikatae, niliponyoa rafiki yangu akatamani nae akanyoa, alichomfanyia kinyozi aliapa kutokunyoa maisha.
 
  • Thanks
Reactions: kui
Naam na mimi nataka kunyoa nibaki na short hair.
Nahahaje kwenye kufikiria kumpata kinyozi atakayeninyoa vizuri?
Uwiiiiiiii!
Karibu chamani, hapo pa kinyozi ndio ujipange, uende kwa wazoefu lasivyo
 
1477503756996.png
1477503768833.png
. Hii pia nmeipenda ila sijajua katumia curl cream ipi kufanya nywele kuwa hivi
 
  • Thanks
Reactions: kui
Nifah, ulifanikiwa mama?

I want short hair too.

Any suggestions??

Oh dear,nilinyoa Karucee.
Sijui nikuambie vipi vile ambavyo nimekuwa karembo.
Short hair raha yake sikia tu kwa wengine.
Nyoa my dear,you'll never regret.Mimi nimenogewa hadi sitaki kusikia mambo ya kusuka tena.

BTW kuna thread tulijadili sana kuhusu hili la short hair,aliianzisha kui
Ilikuwa inahusu jinsi models walivyorock kwenye onesho la Victoria's secret na short hair,jaribu kuitembelea.
 
natamani uni pm kapicha lkn Mimi ni ke nikuambie mapema usije pata wasiwasi
 
Oh dear,nilinyoa Karucee.
Sijui nikuambie vipi vile ambavyo nimekuwa karembo.
Short hair raha yake sikia tu kwa wengine.
Nyoa my dear,you'll never regret.Mimi nimenogewa hadi sitaki kusikia mambo ya kusuka tena.

BTW kuna thread tulijadili sana kuhusu hili la short hair,aliianzisha kui
Ilikuwa inahusu jinsi models walivyorock kwenye onesho la Victoria's secret na short hair,jaribu kuitembelea.
Thanks. I want short curly hair
 
Bora umenitia moyo manake breastfeeding imeninyonyoa nywele najiuliza kunyoa.
 
Low cut ndio habari ya mjini mpendwa, ukishanyoa utanitafuta kuniambia ni jinsi gani unajisikia huru.
Jamani nywele zinachosha hata sijui huwa tunazing'ang'ania za nini.

Yani sasa hivi nikiwa natoka nikiingia bafuni wakati wa kuoga naziosha huko nikimaliza nachana tu na kuzipaka mafuta tayari kwa mtoko...kama enzi za primary maisha yalipokuwa mazuri bila stress

Ila nywele sasa...uende saloon, ukirudi unaoga kama una kidonda kichwani maji yasiingie
Hahahahahaaaaa

Karibu chamani mpenzi... Nasubiri feedback like
 
Mdogo wangu usirudie tena kuandika hivi maana umenitamanisha mnoo ilhali nina malengo bado ya kuwa na nywele ndefu kwa miaka kadhaa....ukweli nimekusoma nikatamani week end ifike niende kwa kinyozi.
 
Back
Top Bottom