Wanawake mnanyoa fashion au mmefulia?

Donatila

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
7,557
21,514
Habari wakuu,

Husika na kichwa cha habari hapo juu,

Kumekuwa na fashoni ya kunyoa nywele kwa wanawake na wadada.

Yaani wananyoa halafu wanapaka na bleach kwenye nywele.

Wanaopendeza sana wengine kulingana na vichwa vyao na sura zao nzuri.

Wengine wanachukiza maana vichwa vyao havikukaa vizuri mnajua simalizii.

Sasa hii fashion ya wadada wamekuwa wakiwa wamefulia au .

Kama ni fashoni mje mtuambie hapa ili tujue kuwa mnanini.
 
Back
Top Bottom