Salome Makamba aomba Serikali itumie magari ya "Washawasha" kuwaondoa Wamasai Ngorongoro badala ya kudhibiti Wapinzani

Kufuata historia, je? Ni Wamaasai wameingilia hifadhi ya wanyama au wanyama waliwakuta Wamaasai pale?
Mbona hili jambo limeshikiliwa kidedea leo?
Hapa kuna siri kubwa. Kama kipindi cha mtawala fulani walijenga kwenye njia ya Tembo!! Kwanini tusiamini hata sasa kuna mtawala ana taka eneo???
Inashangaza sana kwanini hili suala limepata msukumo mkubwa sasa hivi....huenda kuna jambo nyuma yake.
 
Mbunge wa viti maalumu, Salome Makamba ameitaka Serikali itumie magari ya Washawasha kuwaondoa Wamasai huko Ngorongoro badala ya kuyatumia kudhibiti Wapinzani.

Makamba amesema yeye ni balozi wa tembo hivyo anaelewa kinachoendelea hifadhini Ngorongoro kiukweli mbuga inaangamia kwa ukorofi wa Wamasai na matajiri kutoka Arusha na nchi jirani.

Mbunge huyo amekuwa wa pili kuitaka serikali itumie nguvu kuondoa Wamasai baada ya yule wa Mtwara mjini kutaka Vifaru vya Jeshi vitumike kuwaondoa.

Chanzo: TBC 2

Maendeleo hayana vyama!
Wawaamishie Zanzibar
 
Itumike busara kwa sababu hata hio miaka ya 90 watu waliongea kwa utu sio kuoneshana ubabe! Theres alot good inda being wise than being arrogant!
Hayo mazungumzo yapo zaidi ya miaka mitano baada ya utafiti wa athari za mazingira ila wanaharakati wamekuwa wakitumiwa na wenye maslahi kushawishi watu wagomee mpango, kisingizio wapo kisheria. Mazungumzo ya hivi karibuni na wadau yameongozwa na Waziri Mkuu. Kelele zimeibuka baada ya Kamati ya Bunge na waandishi wa habari kwenda kuona hali halisi na kuripoti mkwamo.
 
Mbunge wa viti maalumu, Salome Makamba ameitaka Serikali itumie magari ya Washawasha kuwaondoa Wamasai huko Ngorongoro badala ya kuyatumia kudhibiti Wapinzani.

Makamba amesema yeye ni balozi wa tembo hivyo anaelewa kinachoendelea hifadhini Ngorongoro kiukweli mbuga inaangamia kwa ukorofi wa Wamasai na matajiri kutoka Arusha na nchi jirani.

Mbunge huyo amekuwa wa pili kuitaka serikali itumie nguvu kuondoa Wamasai baada ya yule wa Mtwara mjini kutaka Vifaru vya Jeshi vitumike kuwaondoa.

Chanzo: TBC 2

Maendeleo hayana vyama!

Mbunge wa viti maalumu, Salome Makamba ameitaka Serikali itumie magari ya Washawasha kuwaondoa Wamasai huko Ngorongoro badala ya kuyatumia kudhibiti Wapinzani.

Makamba amesema yeye ni balozi wa tembo hivyo anaelewa kinachoendelea hifadhini Ngorongoro kiukweli mbuga inaangamia kwa ukorofi wa Wamasai na matajiri kutoka Arusha na nchi jirani.

Mbunge huyo amekuwa wa pili kuitaka serikali itumie nguvu kuondoa Wamasai baada ya yule wa Mtwara mjini kutaka Vifaru vya Jeshi vitumike kuwaondoa.

Chanzo: TBC 2

Maendeleo hayana vyama!
Vita vya gorilla vinanukia iwapo hilo litatekelezwa
 
Huyu ni mbunge wa chama gani ?
 
Hakusema hivyo umemsingizia kumbe na wewe ni mzushi kama jamaa wale
Wapi kasema hivyo
 
Kwani hawawezi kutumia utaratibu wa kistaarabu kuwaamisha au akili yake imegotea hapo
Huyu mbunge hovyo kabisa, kutumia magari ya washa washa kivipi? Ina maana magari yataenda kila nyumba kumwagilia hao wamasai au anafikiri huko ngorongoro wamasai wote wanakaa nyumba moja?
Viti maalum hivi!
 
Mbunge wa viti maalumu, Salome Makamba ameitaka Serikali itumie magari ya Washawasha kuwaondoa Wamasai huko Ngorongoro badala ya kuyatumia kudhibiti Wapinzani.

Makamba amesema yeye ni balozi wa tembo hivyo anaelewa kinachoendelea hifadhini Ngorongoro kiukweli mbuga inaangamia kwa ukorofi wa Wamasai na matajiri kutoka Arusha na nchi jirani.

Mbunge huyo amekuwa wa pili kuitaka serikali itumie nguvu kuondoa Wamasai baada ya yule wa Mtwara mjini kutaka Vifaru vya Jeshi vitumike kuwaondoa.

Chanzo: TBC 2

Maendeleo hayana vyama!
Huyu Salome ni ndugu na January?
 
Hvi hyu mama anamiaka mingap?? Je anamahusiano yoyote na makamba family?? Elim yake ipoje?? Aliipatia wapi?? Anajua maana ya utalii??anajua kwa nn inaitwa ngorongoro?? Anajua wamasai walifikaje hapo? Anaelimu sahihi ya utamaduni wa mtanzania?? Anajua nn kuhusiana na hifadhi?? Na la mwisho ameolewa au bado??

Wakuu Kama kunamtu anauwezo wa kumtag atoe majib, baada ya hapo ndo tuamue tumjadili yy au hoja alioitoa..
 
Back
Top Bottom