Francis Mawere
JF-Expert Member
- Nov 17, 2015
- 966
- 840
Kuna Kosa kwani? Je hukuwahi Kuisikia ZUWENA yake MARIJAN RAJAB ikiimbwa na MR.PAUL? na Je Hukuwahi kusikia MUHOGO WA JANG'OMBE yake MAREHEMU BI KIDUDE ikiimbwa na Comandoo bint Mchoz Lady J-dee????????Chambua kama karanga by saida karoli
Hakuna jipya chini ya Jua hili bhana.