elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,260
- 9,743
Mbona hamkuwahi sema jide kaiba mhogo wa jang'ombe, siwema?diamond kazindua wimbo wake mpya ni ule wimbo wa saida karoli wa salome kaumix mix
mwanasheria wa saida anapanga kwenda mahakamani
itakuwa nafasi ya saida karoli kurudi kwenye mziki maana atalipwa mamilioni naona
tusubiri tuone
Je ule wimbo wa mr paul?
And sidhani kama diamond anaweza urudia pasipo idhini ya mwenye hati miliki.
Na ule wimbo saida siyo mwenye hatimiliki, mwenye hati miliki ni aliyekuwa meneja wake saida alisainishwa mkataba wa kinyonyaji.
