algorithim
JF-Expert Member
- Aug 29, 2016
- 878
- 910
Mkuu mbona nyimbo za Mfalme Simba zikitoka kila binadamu anazipata automatically haina haja ya kuletewa hapa.. kama upo ndani kwa nje utasikia ikipigwa kwenye ma-speaker makubwa.. JUZI TULIMLETA DOGO KIBA PALE WASAFI KU-RECORD ALIKUA ANASHANGAA NA KUOGOPA, IKABIDI DIAMOND AMWAMBIE USIOGOPE KUWA HURU KIJANA...Mkuu sawa sasa nyimbo mpya imetoka badala watuletee mashabiki tuione wao wanakazana kuleta habari za kiba sijui huyo kijana kawafanya nini?
ni versionsimba kasema anatoa new vision soon
zitakuepo video mbili...
Saida ameshtaki kuwa kaibiwa???Diamond alitakiwa kupata ruhusa kwa saida,.Duniani kote wasanii wakubwa wana utaratibu huu,.mfano ngoma aliyofanya mayunga na akoni chorus ilikuwa ya msanii wa zamani kutoka afrika ya kusini..walipata kibali(walitoa mtonyo) ndio wakapewa ruhusa ya kuachia ngoma
Hapo chacha utadhani wamepokea malalamiko kutoka kwa saida hawa sijui wa wapi hawaSasa usiwe unaongea bila kujua saida kalori na management yake washapewa hela yao nashangaa ww kulalamika mkuu
Christian Bella alivoimba ukimwona ya diamond maana yake kaishiwa?ila domo kacopy, kichwani zimemuisha anarukaruka tu kama chura, amlipe saida.
Well saidYaani kaimba wimbo wa asili yetu halafu video Ina asili ya Nigeria na Yale majuba aloyavaa hahaa poor diamond , alikosa kushona hata vitenge aendane na tamaduni yetu watz, najua mtapinga ila kiukweli hajawatendea haki wabongo huo sio utamaduni wetu japo wimbo ni wa kwetu[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Diamond kakopi nyimbo za watu hizo