Salome: Diamond Platnumz ft Rayvanny - General Views


Diamond kaikopi hiyo hapo juu,


Pia huo huo wimbo uliwahi kutumiwa na wamarekani katika action move yao
 
AJE ya KING KIBA inamchanganya sana MONDI hadi usingizi hapati naona anatoa toa nyimbo ovyo mara na papa wemba mara atumie beat ya french montana mara atoe salome yaani jamaa anahaha na AJE STILL IKO HOT
We nae umekazana na kibakuli wako..huna support lkn umo tuu..kibakuli hatoi nyimbo cz hana hela[emoji23][emoji23][emoji23]..mnakodoas kodo[emoji102]
 
Kwa mtindo huu wa copy and paste AJE itaendelea kutamba tu naona kidogo imemkost sana then kakurupuka na nyimbo za kukopy
Saida karoli si upo hai bado ni muda wako wa kwenda mahakamani sasa upige hela
Wakodoaji kodo[emoji102]
 
Hawa si ndio macho kodo[emoji23][emoji23] wapotezee tu
 
Wanaikubali kuwa ya saida itakuwa nyimbo bora kuwahi kutokea
 
Hahhaaa kuwahi kutokea katk nchi ya Tanzania au Nigeria??? Maana maneno tu ya kitanzania lakn video ni unigeria mtupu.. Poor Tanzania
Haijalishi inshort kashafunika[emoji23][emoji23]..team kibakuli macho kodo[emoji102]
 
Blaza kibakuli hasikiki kubalini tu[emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…