Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 61,023
- 36,865
hapa nimekupangia maandishi yako kwa mpangilio mzuri lakini bado kwa herufi ndogo:
day one
no 1
1. omba Toba na Rehema
6. taja haja za moyo wako, mfano:
mwisho wa maombi
Shalom
day one
no 1
1. omba Toba na Rehema
- juu yako
- familia yako
- ukoo wenu
- taja mababu na watoto wako kwa majina
- kemea pepo wachafu walioshikilia anga lako
- ombea anga la wanao na la sehemu unapoishi
- taja jina la sehemu unayofanyia kazi
- kemea pepo wachafu wa angani
- tuma moto wa yesu uwateketeze
- taja majina ya watoto wako
- kemea anga linaloshikilia baraka zao mashuleni
- omba wasome na kuelewa vizuri
6. taja haja za moyo wako, mfano:
- afya
- uchumi
- kazi
- mahusiano (familia yako, ukoo, wewe na watoto)
- nyumba
- gari
- ndoa
- amani na upendo katika taifa letu
- maombi kwa wazazi wako na ndugu zako
- upenyo katika maisha yako (taja kuanzia jan mpaka dec 30 mungu ajibu unachoombea)
- na mengineyo
- ulinzi
- uchumi
- amani
- andika mahitaji yako yote
- kisha katika maombi muombe mungu akatende yote uliyoandika
mwisho wa maombi
- kemea roho za malipizi
- visasi na maadui zako
- muombe mungu awashe moto juu yao
- malipizi na visasi yahifadhi yale maombi unayoomba
- mshukuru mungu kwa kuwa ametenda
Shalom