Hamis Juma
JF-Expert Member
- Nov 4, 2011
- 2,229
- 2,266
Ingia
www.utumishi.go.tz
Kushoto tafuta watumishi portal, kisha jisajili. Ili kujisajili utahitaji
1. Email yako
2. Check no (hii ndo itakua na taarifa zako)
3. Password
Ukishajisajili sasa utaweza ku Log in katika hiyo portal.
Kiufupi portal yao wamejitahidi kwa level yetu, iko simple na rahisi kutumia, wana
1. Taarifa zako (hapa ndipo kuna kipengele cha salary slip)
2. Option ya kutafta mtu wa kubadili kituo cha kazi
3. Sehemu ya kuwasilisha malalamiko na kufuatilia
Watumishi woteHiyo option ya kutafuta mtu wa kubadili kituo ni kwa walimu au watumishi wote?!
Hii ni portal iliyoanzishwa na serikali. So, kiusalama ni wao wanajua wanalinda vipi data zetu, maana ukiingiza check no zinakuja details zako zote za kiutumishiSuala la kiusalama likoje mkuu
Naona wanaifanyia matengenezo maana baadhi ya vitu havi-respond siku chache hizi... Ila ikiwa sawa utaweza kupata taarifa zako vizuri kabisaMsaada jamani nmesumbuka wiki nzima.
Hawa watu naona kama hawajajipanga nina week nimejiunga lakini mpaka naandika hawajaweza kunitumia link ya uhakiki kwenye email yangu, na simu zao hazipatikani, je napataje msaada wakuu.Naona wanaifanyia matengenezo maana baadhi ya vitu havi-respond siku chache hizi... Ila ikiwa sawa utaweza kupata taarifa zako vizuri kabisa
Ukishajisajili nenda kaingie, haina haja ya kungoja link ya uhakiki mkuuHawa watu naona kama hawajajipanga nina week nimejiunga lakini mpaka naandika hawajaweza kunitumia link ya uhakiki kwenye email yangu, na simu zao hazipatikani, je napataje msaada wakuu.