Salary slip kwa watumishi wa Serikali

Hamis Juma

JF-Expert Member
Nov 4, 2011
2,229
2,266
Ingia
www.utumishi.go.tz
Kushoto tafuta watumishi portal, kisha jisajili. Ili kujisajili utahitaji
1. Email yako
2. Check no (hii ndo itakua na taarifa zako)
3. Password
Ukishajisajili sasa utaweza ku Log in katika hiyo portal.
Kiufupi portal yao wamejitahidi kwa level yetu, iko simple na rahisi kutumia, wana
1. Taarifa zako (hapa ndipo kuna kipengele cha salary slip)
2. Option ya kutafta mtu wa kubadili kituo cha kazi
3. Sehemu ya kuwasilisha malalamiko na kufuatilia

Update:
1. Ingia www.salaryslip.mof.go.tz kisha jaza taarifa zako kama za kiutumishi, wastani huchukua siku 1 kuwa confirmed. Kwenye website ya www.salaryslip.mof.go.tz kuna salary slips kuanzia July 2017
 
Ukishajisajili Log in ili kupata taarifa zako zote
 
Attachments

  • Screenshot_2016-12-29-23-45-05.png
    Screenshot_2016-12-29-23-45-05.png
    22.6 KB · Views: 1,185
  • Screenshot_2016-12-29-23-45-30.png
    Screenshot_2016-12-29-23-45-30.png
    20.7 KB · Views: 1,252
  • Screenshot_2016-12-29-23-46-25.png
    Screenshot_2016-12-29-23-46-25.png
    13.7 KB · Views: 1,160
Ingia
www.utumishi.go.tz
Kushoto tafuta watumishi portal, kisha jisajili. Ili kujisajili utahitaji
1. Email yako
2. Check no (hii ndo itakua na taarifa zako)
3. Password
Ukishajisajili sasa utaweza ku Log in katika hiyo portal.
Kiufupi portal yao wamejitahidi kwa level yetu, iko simple na rahisi kutumia, wana
1. Taarifa zako (hapa ndipo kuna kipengele cha salary slip)
2. Option ya kutafta mtu wa kubadili kituo cha kazi
3. Sehemu ya kuwasilisha malalamiko na kufuatilia

Hiyo option ya kutafuta mtu wa kubadili kituo ni kwa walimu au watumishi wote?!
 
Nimejisajili kuna sehemu za malalamiko, sehemu ya taaarifa na salary slip na sehemu ya kubadilishana kituo.Sehemu ya kupata salary slip imegoma kufungua ila sehemu zingine zinafungua vizuri.
 
Nimejisajili na kusign in ila sehemu ya salary slip imegoma kufungua mkuu, je kuna namna ya kuifungua au ndo inazengua hivyo?
 
Natafta salary slip zangu za mwez January ,DEC,November ,huduma ya watumishi portal imefungwa kwa muda
 
Naona wanaifanyia matengenezo maana baadhi ya vitu havi-respond siku chache hizi... Ila ikiwa sawa utaweza kupata taarifa zako vizuri kabisa
Hawa watu naona kama hawajajipanga nina week nimejiunga lakini mpaka naandika hawajaweza kunitumia link ya uhakiki kwenye email yangu, na simu zao hazipatikani, je napataje msaada wakuu.
 
Hawa watu naona kama hawajajipanga nina week nimejiunga lakini mpaka naandika hawajaweza kunitumia link ya uhakiki kwenye email yangu, na simu zao hazipatikani, je napataje msaada wakuu.
Ukishajisajili nenda kaingie, haina haja ya kungoja link ya uhakiki mkuu
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom