Watu wana akili za kenge, mpaka waone damu. Kuelewa jambo dogo kwao imekuwa ni ngumu.Endeleeni kusubiri hivi mnataka aongee kisukuma ndio mtaelewa?
Kwa kuwauzia maandazi wanafunzi au ice cream mshahara uwe kitu cha nyongeza?You gave yourself false hopes. By the way unaweza kujiongezea pato lako kwa kufanya shughuli nyingine za uzalishaji. Watumishi wa umma wa siku hizi, wengi mabishoo. Enzi zetu zile, walimu walikuwa wanafunga ice cream, wanatengeneza maandazi na kuwauzia wanafunzi nk. Kitaa unakuta mtu anafuga ng'ombe, analima mahindi nk. Ukifanya hayo, mshahara wa serikali itakuwa ni kitu cha nyongeza tu.
Acha ujuha wewe, tunaongelea stahiki zilizopo kwenye makubaliano yetu na serikali wakati inatuajiri sio nyongeza za hiari. Hata nikiacha kazi lazima makubaliano yaheshimiwe.Hvi si muache kazi mbona mimi nimetulia sipendi mtu kulilia lilia 3000 mara 5000 itabadili nn kwenye mshara kama wanaongeza waongeze kama wanaacha na waache
Hapana, nyongeza inayoongelewa hapa alisema itakuwepo. Ile nyongeza ya JK ndiyo alisema tuvumilie. Hapa wadau wanaongelea Annual incrementWatu wana akili za kenge, mpaka waone damu. Kuelewa jambo dogo kwao imekuwa ni ngumu.
JITU lilishatangaza kwamba haliongezi mshahara hata MIA MBOVU mpaka miradi yake anayofikiria itakapokamilika,
LAKINI,
Unakuta mtumishi ana matumaini kabisa mshahara ameongezwa. Hii inadhihirisha WATUMISHI WENGI WA TANZANIA NI "ILLUSIONED" Wanastahili kumwona PSYCHOLOGIST
Wewe si kibaka wa ccm, lazima uongezeke tu maana nasikia mnalipwa buku nane na sio buku saba tena!!mbona mimi umeongezeka?
Salary Slip inakuja baada ya salari na baada ya kufanya Kazi Mkuu na pia ujue kuwa Kazi Ndiyo Kipimo Cha Utu , kutoamini katika kazi ni Ujinga mtupu , ili upate Salary Slip nzuri lazima u JitumeSalary slip ndo nini?
Mshahara uliolalaSalary slip ndo nini?
Tupo katika right truckBado tupo vizuri. Tutembee kifua mbele!
Ndio katiba imeahidiKwani uliahidiwa nyongeza?!!!!!
Taulo special za kike (p.e.d.i) πππππππππππSalary slip ndo nini?
Ulifuatilia sherehe za Mei Mosi, 2018 pale Iringa?Ndio katiba imeahidi
Zilifanyaje? Zilibadili katiba?Ulifuatilia sherehe za Mei Mosi, 2018 pale Iringa?
Unaongelea ibara namba ngapi kwenye katiba mkuu?Zilifanyaje? Zilibadili katiba?
Hivi kuna watumishi wa umma bado wana ndoto ya kuongezewa mshahara awamu hii? Ina maana hamjui kuwa hapa ni kazi tu huku mkibana matumizi? Kalagabaho!Mkuu usiwe na haraka ongezeko lipo na utaliona tu.