Duh!!!!!!!! kumbe Kongosho ndio........................nilikuwa sijuiPreta unamaanisha babii wako au babu wako?
Una wengi sana sasa ni yupi? mtu chake ? KakaKiiza ? TANMO au nani?
Mi kwanza ukirudi kwa mtu chake au mmoja wao sina tatizo coz hata mimi nimemiss sana mambo ya mtaani kwa akina BADILI TABIA Remmy Yummy YNNAH na my wife wa kudumu Amyner bila kumsahau alozindua mtambo wangu Kongosho
...hahahahahaha...wewe rudi tu wala usijari..kwanza nataka nimrudie bebii wangu.....naandaa mbuzi wa msamaha......
...duh,mkuu mbn umeua ...Penzi la Preta ni kama Kiti cha basi Arifu, hebu shuka sasa wengine nao wakae... Wivu weka pembeni