Salamu!

I Hope wapenzi wote wa chit chat mko poa salamu kwa wote nawapenda sana!

Hata mimi pia Nakupenda sana.
Na upendo wako umeongezeka pale uliponipa kura yako ya kuingia kwenye Kinyang'anyiro cha Miss ChitChat.
LUV U MOREEEEEEEEEE!!
 
wazima sana ila muda si mrefu Polisi wamepiga bomu la machozi hapa Chit chat bahati nzuri tumepona
 
Hivi yule ni Paka Mweusi au Paka aliyepakwa rangi nyeusi, maana rangi yake kama kapakwa vile!

hivi huyu hapa ni rangi gani.....?

images.jpeg
 
Back
Top Bottom