Salamu za CHADEMA Iramba Magharibi

Salamu za CHADEMA Iramba Magharibi

Teh teh, wakuu hongereni sana, angalieni mlipuaji asije walipua! Kwa sasa itabidi alete barca kila wiki, vinginevyo yuko hatarini...kuondolewa na wanairamba!
 
Songeni mbele makamanda tupo nyuma yunu,nendeni mkammalize Kenge kwenye msafara wa Mamba. Mana Nchemba anajifananisha na Mamba kumbe ni Kenge.
 
Ninyi mmeenda kumtukana tu Mwigulu lakini kumbukeni kwamba wakubwa wenu wamemshindwa na ni hivi karibuni tu Babu alimshindwa.yangu macho!!!Mwigulu jimbomlako limevamiwa hawa jamaa hawakujui!!

mshauri arudi jmboni haraka,asisahau video camera
huku atapata clps mpya za kigaidi, awaunganishe na akina ludo. teh teh...
 
Ninyi mmeenda kumtukana tu Mwigulu lakini kumbukeni kwamba wakubwa wenu wamemshindwa na ni hivi karibuni tu Babu alimshindwa.yangu macho!!!Mwigulu jimbomlako limevamiwa hawa jamaa hawakujui!!
Wewe Ni he au she...?
 
Ninyi mmeenda kumtukana tu Mwigulu lakini kumbukeni kwamba wakubwa wenu wamemshindwa na ni hivi karibuni tu Babu alimshindwa.yangu macho!!!Mwigulu jimbomlako limevamiwa hawa jamaa hawakujui!!

...Bhebhe ng'wanike bhalolage abhiyo....
 
Mfupa uliomshinda fisi ninyi mtauweza?

Kwenye mkusanyiko huwa hapakosekani wachekesha umati.

Hii ni njia nzuri sana ya kuharalisha kupata malipo kutokana na pesa ya ruzuku kwa vyama vya siasa.

Bandiko lenu ukilisoma kwa undani utagundua lina ombe na psychological defeat hata kabla hamjafika kwenye ground zero.
 
Ee Mwenyezi Mungu wajaarie nguvu vijana hawa uwatie nguvu, uwatenge mbali na mikono ya shetwani Mwigulu Madiru!! AMINA!!
 
Ninyi mmeenda kumtukana tu Mwigulu lakini kumbukeni kwamba wakubwa wenu wamemshindwa na ni hivi karibuni tu Babu alimshindwa.yangu macho!!!Mwigulu jimbomlako limevamiwa hawa jamaa hawakujui!!

Kumbe akili yako iko mfukoni mwa Lameck Madelu. Lady Kamanda Jesca Kishoa tu peke yake anamdhibiti kisawasawa naibu katibu mkuu wenu sasa unawezaje kumlinganisha na viongozi wakubwa wa Chadema?
Eti jimbo la Mwigulu, hata huoni aibu japo kidogo kwa kutaka kuhadaa watu kwamba jimbo ni mali ya mbunge? Huu ndio ubaya wa kumezeshwa makapi hapo lumumba kisha unakuja JF kuyatapika kama yalivyo!

Piga kazi kamanda David Djumbe wala usipate shaka na hizi kelele za huyu mbu ndani ya net atajifia tu natural death. Mimi sina shaka hata kidogo na uwezo wako tangu nimekufahamu tukiwa Moshi Tech hadi DIT!
 
Makamanda,

Hii shughuli ya kutoa elimu ya uraia na ukombozi uwa ni kujitolea au ina malipo?

Kwa maana kama ni kujitolea, ina maana ni wito, hivyo dhana nzima ya ukombozi inakua na maana na mantiki.

Ila kama ni shughuli yenye malipo, ina maana hiyo ni ajira (kazi) ya kwenda kupiga domo na kupotezea muda wananchi, kwa maana kwamba hao makamanda hawana jipya.
 
Mfupa uliomshinda fisi ninyi mtauweza?

Kwenye mkusanyiko huwa hapakosekani wachekesha umati.

Hii ni njia nzuri sana ya kuharalisha kupata malipo kutokana na pesa ya ruzuku kwa vyama vya siasa.

Bandiko lenu ukilisoma kwa undani utagundua lina ombe na psychological defeat hata kabla hamjafika kwenye ground zero.

.......4 by 0...

.......zoom hiyo kesho buku 7 itazoom!!!!!
 
Makamanda,

Hii shughuli ya kutoa elimu ya uraia na ukombozi uwa ni kujitolea au ina malipo?

Kwa maana kama ni kujitolea, ina maana ni wito, hivyo dhana nzima ya ukombozi inakua na maana na mantiki.

Ila kama ni shughuli yenye malipo, ina maana hiyo ni ajira (kazi) ya kwenda kupiga domo na kupotezea muda wananchi, kwa maana kwamba hao makamanda hawana jipya.

watu wanaenda field we unajitekenya na keyboard hapo lumumba,tulia subiria kunyolewa we mama
 
Makamanda,

Hii shughuli ya kutoa elimu ya uraia na ukombozi uwa ni kujitolea au ina malipo?

Kwa maana kama ni kujitolea, ina maana ni wito, hivyo dhana nzima ya ukombozi inakua na maana na mantiki.

Ila kama ni shughuli yenye malipo, ina maana hiyo ni ajira (kazi) ya kwenda kupiga domo na kupotezea muda wananchi, kwa maana kwamba hao makamanda hawana jipya.

Mwambie Lameck Madelu aipeleke tena timu ya simba au kama vipi aipeleke azam fc ili kujinusuru na kimbunga cha vijana wetu wazalendo halisi wa Iramba! Tena umwambie hata akiamua kutumia mabomu ya kivita kama alivyofanya Arusha lakini atambue kuwa watanzania hawarudi nyuma katu wamekwishaamua kusonga mbele na kuyatafuta mageuzi na ukombozi wa kweli.
 
Mweeee! Mtamuua yule GAIDI aliye pata mafunzo China. Amelianzisha mwenyewe sasa lina mmaliza. Na hivyo tetetsi zina sema kwamba, Baraza la Wazee wa MAGAMBA halimtaki kabisa, hapo ndio imekula kwake.

mbona walishachelewa sana?
 
....Mkuu earthmover jamaa anashangaza...haiwezekani mwanaume ushitaki kwa mwanamme mwenzako namna hiyo...
....Hata mimi nimeshangaa sana...huyu mdada mimi na hasira naye sana ANATUAIBISHA SANA SISI WASUKUMA!!!!!
 
Duh!! Kazi ipo. Huenda huu ukawa ndio mwaka mbaya zaidi kwa Mwigulu kisiasa, maana anasakamwa sana na watu ndani ya CCM(Wazee wastaafu), nje ya CCM(CHADEMA) na hata mitaani(Makundi ya kiraia).
 
Back
Top Bottom