Salamu za CHADEMA Iramba Magharibi

Salamu za CHADEMA Iramba Magharibi

Wanyiramba wameapa kufa na mwigulu kwa hali na mali. Ataliongoza jimbo hadi atakapochoka mwenyewe
 
Nyie kina jumbe na wachumia tumbo wenzako, kabla hamjaenda iramba jiulizeni kwanza uwezo mdogo kabisa mlio nao wa fikra umesaidia nn familia zenu? Alienda mnyika na kitila wakauwa mtu, nyie mtauwa wangapi?
 
[h=5]View attachment 109219[/h][h=5]Salamu rasmi IRAMBA MAGHARIBI, Timu ya kazi inaingia na kupiga kambi kuanzia Jumamosi hii kutoa elimu ya URAIA na UKOMBOZI wa Jimbo Hili kutoka kwenye ulaghai wa ccm uliowafumba macho wananchi kwa miaka mingi na maisha yao yakizidi kuwa magumu siku hadi siku, eti MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA!!!! huku wale waliopewa nafasi ya kuwatumikia wananchi wakiishia kuleta propaganda za kukandamiza harakati za mageuzi nchini na kujifanya MIUNGU WATU, kwamba hawataki kuona IRAMBA ikifanyiwa kazi za kisiasa na vyama vya upinzani kwa kuwazushia kesi za uongo na vitisho wanaharakati wanaoingia jimboni hapo, tumejiandaa sio tu kupokea vitisho, bali kwa lolote lile watakalokuja nalo ili mradi wananchi wa IRAMBA Magharibi wakombolewe,,,,, tutakuwepo hapo mimi David Djumbe, Jesca Kishoa pamoja kamanda wa upepo Ally Bananga, huku tukiwakaribisha wale wote wanajisikia kushiriki kazi hii katika jimbo hili, kwa namna yeyote ile ,wanaweza kuwasiliana nasi mapema kwa ajili ya utaratibu mzima.>>>[/h]

mlivochoka hadi nawahurumia, naamini hako kamradi katawasaidia kumega karuzuku kdg badala ya slaa kwenda kutumbua israeli na hawara yake nanyi mtafaidi kiasi
 
Dawa ya Mwigulu ni Best yangu Jesca Kishoa, "anamtoa" nyongo sasa hivi huyo gaidi.... Kishoaaaaa
 
Njaa, uvivu na kupenda chee inawamaliza vijana wa taifa hili kwa kasi sana.
 
mlivochoka hadi nawahurumia, naamini hako kamradi katawasaidia kumega karuzuku kdg badala ya slaa kwenda kutumbua israeli na hawara yake nanyi mtafaidi kiasi

Leo utataja mizimu yote! Cha ajabu mpaka mizimu yako yote ipo M4C. Kumbe dawa ya GAIDI Mwigulu ni wadada wabichi eeh??? Kama Lwanda Magele, tutamgalagaza huyo savimbi, hataamin. ifweero
 
Last edited by a moderator:
Dawa ya Mwigulu ni Best yangu Jesca Kishoa, "anamtoa" nyongo sasa hivi huyo gaidi.... Kishoaaaaa

hiyo nazi uliyobeba hapo juu haikusaidii kabisa. Mwigulu ameyaumbua magaidi kwa kuharibu mtandao wao wa uuwaji. Shika adabu yako
 
mlivochoka hadi nawahurumia, naamini hako kamradi katawasaidia kumega karuzuku kdg badala ya slaa kwenda kutumbua israeli na hawara yake nanyi mtafaidi kiasi

Wamechoka kama Pinda? Acha udhudhu wewe... CHADEMA ni O2
 
hiyo nazi uliyobeba hapo juu haikusaidii kabisa. Mwigulu ameyaumbua magaidi kwa kuharibu mtandao wao wa uuwaji. Shika adabu yako

Sisi kwetu hakuna nazi... Huku ubuyu ndo sana... Ndo maana napenda kujibizana nawe maana una ladha kama ya ubuyu!!? By the way MWIGULU ndo gaidi mkubwa ndani ya ccm, wengi ni Ramadhan Ighondu, Msakila, Jack Zocka. ifweero
 
Last edited by a moderator:
Sisi kwetu hakuna nazi... Huku ubuyu ndo sana... Ndo maana napenda kujibizana nawe maana una ladha kama ya ubuyu!!? By the way MWIGULU ndo gaidi mkubwa ndani ya ccm, wengi ni Ramadhan Ighondu, Msakila, Jack Zocka. ifweero
Iramba hakuna wachaga sijui mnafuata nini na chama chenu cha kikabila .
 
Majambazi utayajua tu,ona hata walivyojaa ni majambazi live,
chadema kila kiongozi mharifu ila uharifu wao unatofautiana tu.
 
Back
Top Bottom