Salamu za CHADEMA Iramba Magharibi

Salamu za CHADEMA Iramba Magharibi

Mwigulu mpaka kamkondesha slaa kwa hoja zake zenye mashiko leo slaa halali akimwaza mwigulu.

Teh teh teh teh. Dr. Slaa aache kuandaa michakato ya 2015 pale magogoni, akondeshwe na jangili Mwigulu. Pole shost,
 
Teh teh teh teh. Dr. Slaa aache kuandaa michakato ya 2015 pale magogoni, akondeshwe na jangili Mwigulu. Pole shost,
Slaa anawaweza josefine na rose ndiyo taluma yake hana kipya kingine pengine na uropokaji na kutoa matamko kila wiki.
 
Nilishasema andaeni nepi na pembasi za kutosha mtatikiswa sana 2015 .
 
Mshambulieni Gaidi Mwigulu vilivyo. Wana Irambamba wafunguliwe macho waone na kujitambua.

Siku wana Iramba wakijitambua Mwigulu atakuwa hatarini.......

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Mbona unaandika maharage yaliyochacha au umezidiwa a usingizi. Magaidi ni nyie chadema mnaomwagia watu tindikali, mwigulu ndio anaharibu mipango yenu haramu na ovu
 
Ninyi mmeenda kumtukana tu Mwigulu lakini kumbukeni kwamba wakubwa wenu wamemshindwa na ni hivi karibuni tu Babu alimshindwa.yangu macho!!!Mwigulu jimbomlako limevamiwa hawa jamaa hawakujui!!

so what ?
 
View attachment 109219

Salamu rasmi IRAMBA MAGHARIBI, Timu ya kazi inaingia na kupiga kambi kuanzia Jumamosi hii kutoa elimu ya URAIA na UKOMBOZI wa Jimbo Hili kutoka kwenye ulaghai wa ccm uliowafumba macho wananchi kwa miaka mingi na maisha yao yakizidi kuwa magumu siku hadi siku, eti MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA!!!! huku wale waliopewa nafasi ya kuwatumikia wananchi wakiishia kuleta propaganda za kukandamiza harakati za mageuzi nchini na kujifanya MIUNGU WATU, kwamba hawataki kuona IRAMBA ikifanyiwa kazi za kisiasa na vyama vya upinzani kwa kuwazushia kesi za uongo na vitisho wanaharakati wanaoingia jimboni hapo, tumejiandaa sio tu kupokea vitisho, bali kwa lolote lile watakalokuja nalo ili mradi wananchi wa IRAMBA Magharibi wakombolewe,,,,, tutakuwepo hapo mimi David Djumbe, Jesca Kishoa pamoja kamanda wa upepo Ally Bananga, huku tukiwakaribisha wale wote wanajisikia kushiriki kazi hii katika jimbo hili, kwa namna yeyote ile ,wanaweza kuwasiliana nasi mapema kwa ajili ya utaratibu mzima.>>>

sio siri jamaa wapo hoi kweli kweli.
 
Utaachika ww, acha ushambenga nenda chumbani unasubiriwa

Wengine saivi mchana kweupee... We vipi? Ndo upo shift ya ucku sio? Eti kweli mmewafukuza wabunge na madiwani...? Eti naskia Gaidi Mwigulu kafukuzwa unaibu? Niambie weeewe
 
Ninyi mmeenda kumtukana tu Mwigulu lakini kumbukeni kwamba wakubwa wenu wamemshindwa na ni hivi karibuni tu Babu alimshindwa.yangu macho!!!Mwigulu jimbomlako limevamiwa hawa jamaa hawakujui!!
Wanamjua kwa uongo, kubambikiza kesi, kung'oa kucha watu. Ndicho hicho kitakachopelekea anguko lake.
 
Back
Top Bottom