Salamu za CHADEMA Iramba Magharibi

Salamu za CHADEMA Iramba Magharibi

Nawatakia mema, Nilitamani niungane nanyi lakini bahati mbaya sitaweza, japo hadi sasa nimewageuza wengi sana IRAMBA, nawaombea kazi salama-Mungu awatangulie.
 
Wanyiramba wameapa kufa na mwigulu kwa hali na mali. Ataliongoza jimbo hadi atakapochoka mwenyewe
Wanyiramba ni sisi, wewe unayetupangia kufa na mwigulu sijui watoka wapi kama sio kutumiwa???????
 
Iramba hakuna wachaga sijui mnafuata nini na chama chenu cha kikabila .

Tena ukome kutuharibia sifa ya wilaya yetu kwa ukabila wako. Kutaka muendelee kuwa wabunge hadi mnaeneza ukabila??? M4C kwa taarifa yako sio mpango wa watu mashetani kama nyie-Ni mpango wa Mungu watu watolewe kwenye dhiki.
 
Wengine saivi mchana kweupee... We vipi? Ndo upo shift ya ucku sio? Eti kweli mmewafukuza wabunge na madiwani...? Eti naskia Gaidi Mwigulu kafukuzwa unaibu? Niambie weeewe

Subiri tuone kikao chao kitaishaje-Niliona mwigulu akitolewa kafara na ccm kwa kuwa issue ya mabomu inawatesa ccm na inakiangamiza chama chao. nasubiri matokeo ya kikao labda waghairi.
 
Mimi Limwigjlu naliogopa hata kulitazama kutokana na matendo yake ya ugaidi.ni janga ndani ya jamii ya Wa tz
 
Jaman Mbona mtamuua Madelu kwa Pressure nyie watu
 
Mbona kama walinzi vile? Ni makamanda kweli au njaa?

Si kila mlinzi ni wa kudharaulika hvyo!
Hata mlinzi wa Rais huenda analipwa kuliko wewe!
Ni jina tu ndili linaficha kazi yke...
Badala ya mlinzi anaitwa BODYGUARD.....
Kazi ni zilezile majina tofauti!
 
Sisi kwetu hakuna nazi... Huku ubuyu ndo sana... Ndo maana napenda kujibizana nawe maana una ladha kama ya ubuyu!!? By the way MWIGULU ndo gaidi mkubwa ndani ya ccm, wengi ni Ramadhan Ighondu, Msakila, Jack Zocka. ifweero

ee mungu ulie hai wajaalie umri mrefu hawa waliotajwa hapa na muuaji hanifa mursi ili waendelee kuharibu mipango ovu na ya kigaidi ya wauwaji esp chagga dev manifesto
 
Last edited by a moderator:
Haya nakuona David Djumbe, aliyekuwa rais wa vyuo viwili vya ufundi, MTC (sasa MUST) na DIT kwa vipindi tofauti!
 
Wanyiramba ni sisi, wewe unayetupangia kufa na mwigulu sijui watoka wapi kama sio kutumiwa???????

Muntua,huyu mbunge anatulemazia vijana wetu,maana kijana yoyote mwenye madhara iramba anamnunua na kuzunguka nae ka pochi.sasa amemnunua Jonathan hodari wa kutunga nyimbo za kinyira,ammemfuga kwake Tegeta ili amtungie nyimbo za kumsifu.
 
Karibuni lakini wake zetu jamani hususa wee Jumbe wee tuna habari zako. Kwa hiyo ukae chonjo yasije yakakukuta mengine Huku.
 
View attachment 109219

Salamu rasmi IRAMBA MAGHARIBI, Timu ya kazi inaingia na kupiga kambi kuanzia Jumamosi hii kutoa elimu ya URAIA na UKOMBOZI wa Jimbo Hili kutoka kwenye ulaghai wa ccm uliowafumba macho wananchi kwa miaka mingi na maisha yao yakizidi kuwa magumu siku hadi siku, eti MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA!!!! huku wale waliopewa nafasi ya kuwatumikia wananchi wakiishia kuleta propaganda za kukandamiza harakati za mageuzi nchini na kujifanya MIUNGU WATU, kwamba hawataki kuona IRAMBA ikifanyiwa kazi za kisiasa na vyama vya upinzani kwa kuwazushia kesi za uongo na vitisho wanaharakati wanaoingia jimboni hapo, tumejiandaa sio tu kupokea vitisho, bali kwa lolote lile watakalokuja nalo ili mradi wananchi wa IRAMBA Magharibi wakombolewe,,,,, tutakuwepo hapo mimi David Djumbe, Jesca Kishoa pamoja kamanda wa upepo Ally Bananga, huku tukiwakaribisha wale wote wanajisikia kushiriki kazi hii katika jimbo hili, kwa namna yeyote ile ,wanaweza kuwasiliana nasi mapema kwa ajili ya utaratibu mzima.>>>

Piga kazi kamanda Djumbe wala usiogope mikwara mbuzi ya Lameck Madelu kwa kamanda mwenzako Jesca Kishoa. Kwa namna mwigulu anavyotapaatapa hadi kuanza kumtishia Jesca ni dhahiri kuwa maji yamemfika shingoni na hana namna ya kujinasua ni lazima azame mtoni hata kama anajiita mamba basi uwezo wake wa kukata maji mtoni umekwisha.

Imani yangu ni kwamba kazi unayoifanya kanda ya kati hasa mkoani Singida ni kubwa sana na Mungu ataendelea kuwasimamia na kuwalinda kwakuwa tunawaombea kila siku ili Mungu awaepushe na kuwalinda na hila za muovu mwigulu asije akafanikiwa kuwadhuru ili hatimaye wana wa Iramba wapate kutambua hila za mbunge wao aliyeshindwa kutimiza majukumu yake na kujikita katika kufanya siasa za majitaka dhidi ya watanganyika wenzake.
 
Last edited by a moderator:
Gamba ndo zenu mnajipa matumaini km mgonjwa wa ngoma..kimbizeni makamanda pamoja sana...peoples poweeeeeeeeeeeeeeeeeeeer
 
hiyo nazi uliyobeba hapo juu haikusaidii kabisa. Mwigulu ameyaumbua magaidi kwa kuharibu mtandao wao wa uuwaji. Shika adabu yako

Mkuu Lameck Madelu mbona inaumia hovyo....tulia Urambe Dawa nini kupaparika paparika kama Kuku anayekaya Roho...tulia dozi iingie vizuri...
 
Back
Top Bottom