Makamanda,
Hii shughuli ya kutoa elimu ya uraia na ukombozi uwa ni kujitolea au ina malipo?
Kwa maana kama ni kujitolea, ina maana ni wito, hivyo dhana nzima ya ukombozi inakua na maana na mantiki.
Ila kama ni shughuli yenye malipo, ina maana hiyo ni ajira (kazi) ya kwenda kupiga domo na kupotezea muda wananchi, kwa maana kwamba hao makamanda hawana jipya.
Hamida mbona wewe na magamba wenzako baada yakusikia ujio wa makamanda mnaweweseka sana..hahaha .dada hamida tulieni mpate dose