Salamu ya shikamoo ifutwe rasmi na Serikali

Marahaba maana yake nini???[emoji1787]mbona kwenye lugha zetu za makabila salamu ni moja tu.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Ni mvurugano tu. Mbona makabila hayana hii salamu watu wote wanatumia salamu moja iwe mdogo au mkubwa. Inasemekana hii salamu imetokana na maisha ya utumwa. Kwa nini tumeishikilia kama salamu rasmi ya Kiswahili?

Hivi unajuaje kama mtu uliyekutana nae mara ya kwanza unastahili kumpa shikamoo kwa kumwangalia kwa macho? Ni mtu aliyekuzidi miaka mingapi anastahili hii salamu?

Solution itafutwe salamu moja ya Kiswahili itakayotumiwa na watu wa rika zote kama ilivo salamu za kidini, lugha za kigeni na lugha za makabila yetu. Tuondoe huu mvurugano kwenye jamii. Kama Serikali haina mbadala wa hii salamu itangaze mashindano wananchi wapendekeze mbadala.

C.c. Wizara ya Sanaa na Utamaduni
C.c. BAKITA
C.c. TATAKI
haya mambo hayapangwi kisheria huanza kama tabia , Kisha tabia ikikomaa huwa ni utamaduni . kwani siku mnaanza kusalimiana Shikamoo mlitunga Sheria ? afu unajistress kwa vitu minor we amka asubuhi mwambie babako na mamako mambo vipi !!! uje utupe majibu hapa imekuaje
 
Mavi-Jana ya Tanzania ya hovyo hovyo! Si memshakuja na salamu yenu ya "HESHIMA YAKO MKUU?"
 
Watoto wa siku hizi adabu imekuwa adimu sana kwenu. Endeleeni na. viburi vyenu and see what that character will invoke in the end. Hamna adabu kabisa.
 
hiyo shikamoo ukijagundua uliemsalimia hivo umemzidi umri au aliekusalimia hivo ni mzee zaidi yako, unabaki na maswali mengi kichwani, inakera sana dah!!!!!
Nyie mnakosea.

Unatakiwa umuamkie mtu ambaye hasa unaona ni mzee kakuzidi.

Mimi mtu ambaye anaweza kunizaa kwa umri wake ndio namuamkia..
 
Haya sasa tupeni tafsiri ya hayo maneno;
🇹🇿 SHIKAMOO
🇹🇿MARAHABA
 
Ni mvurugano tu. Mbona makabila hayana hii salamu watu wote wanatumia salamu moja iwe mdogo au mkubwa. Inasemekana hii salamu imetokana na maisha ya utumwa. Kwa nini tumeishikilia kama salamu rasmi ya Kiswahili?

Hivi unajuaje kama mtu uliyekutana nae mara ya kwanza unastahili kumpa shikamoo kwa kumwangalia kwa macho? Ni mtu aliyekuzidi miaka mingapi anastahili hii salamu?

Solution itafutwe salamu moja ya Kiswahili itakayotumiwa na watu wa rika zote kama ilivo salamu za kidini, lugha za kigeni na lugha za makabila yetu. Tuondoe huu mvurugano kwenye jamii. Kama Serikali haina mbadala wa hii salamu itangaze mashindano wananchi wapendekeze mbadala.

C.c. Wizara ya Sanaa na Utamaduni
C.c. BAKITA
C.c. TATAKI
Hio salamu ya kingese halafu unakuta jitu zima linang’ang’ania lipewe shkamoo! Ufala kweli yani😅
 
Ni mvurugano tu. Mbona makabila hayana hii salamu watu wote wanatumia salamu moja iwe mdogo au mkubwa. Inasemekana hii salamu imetokana na maisha ya utumwa. Kwa nini tumeishikilia kama salamu rasmi ya Kiswahili?

Hivi unajuaje kama mtu uliyekutana nae mara ya kwanza unastahili kumpa shikamoo kwa kumwangalia kwa macho? Ni mtu aliyekuzidi miaka mingapi anastahili hii salamu?

Solution itafutwe salamu moja ya Kiswahili itakayotumiwa na watu wa rika zote kama ilivo salamu za kidini, lugha za kigeni na lugha za makabila yetu. Tuondoe huu mvurugano kwenye jamii. Kama Serikali haina mbadala wa hii salamu itangaze mashindano wananchi wapendekeze mbadala.

C.c. Wizara ya Sanaa na Utamaduni
C.c. BAKITA
C.c. TATAKI
Officially, iwe MAMBO poa, au sio poa
 
Nyie mnakosea.

Unatakiwa umuamkie mtu ambaye hasa unaona ni mzee kakuzidi.

Mimi mtu ambaye anaweza kunizaa kwa umri wake ndio namuamkia..
unakutana na mwanamama huelewi kama ni mdada au mmama tena wanawake ndo wanachanganya kweli, unawaza wee huyu nimpe shkamoo au za saizi?

ukimpa za saizi afu kumbe ni mmama utaskia "kuwa na adabu salimia wewe".

nako ukimpa shkamoo kumbe ni mdada saizi yako anakushangaa kweli, anaitika kama hataki au anaikwepa kabisa kwa kusema "salama tuu habari"

sasa hapo kazi kwako, stress tupu unabaki unajiuliza maswali mengi kichwani inamaana nimekosea au inakuwaje?

kumbe ndo maana saa ingine mtu anaamua akaushe tuu apite zake, aepukane na sintofahamu kama hizo.

Ila kwa upande wa waislamu wao wamerahisisha mambo, Salaam aleyko kwao inatosha kwa rika zote.

inabidi sasa itafutwe salam rahis kabisa ya taifa kwa rika zote itapendeza.
 
Back
Top Bottom