Hahahaaaa mi nimemuuliza King'asti sasa mbona wewe unaanza kuleta majungu? Mr Rocky Jibu swali sasa je, King'asti ni nani kwako?Wewe Erickb52 na Amyner unamuachia nani huku unamuania The secretary na BADILI TABIA japo kwa siri King'asti huyo Erickb52 asikuchemshe wala nini
Ana ntumba ndogo kama utitiri na bado Remmy na cacico anawataka na sweetlady pia
sasa huto si ni karibia king mswati
Naomba uendelee kuchunguza mienendo ya Mentor coz hata mimi nahisi haiko sawa kabisa....!Arushaone eti una kesi na wewe ya kuwawania wake za watu Erickb52 mimi sina kosa bana anazunguka mno kama pia sasa kama kila siku yuko kiguu na njia mara kwa KARIA, Asprin, Mentor, Kaizer, Bishanga, Arushaone sasa hiyo haki kwangu anataka ya nini tena
ndo maana nilimuomba mwanasheria ruttashobolwa anisimamie kesi yangu aise ya kudai talaka Mentor sina mpango huo mkuu ila naona nyendo zako hazijakaa sawa kabisa
Kongosho Labda niwang'ate kwa kidole kingine sio cha mkono..ila nahisi hawataruka zaidi ya kutulia tulii ili waendelee kujng'atwa
Mentor ana tatizo moja huwa anakula halafu anaacha makombo mezani sasa watu wakiyaangalia tuu wanajua Mentor huyo kapita hapaNaomba uendelee kuchunguza mienendo ya Mentor coz hata mimi nahisi haiko sawa kabisa....!
Nimemweka kwenye matazamio kwa muda
Heheheeeeee aruuuuuuuuu!
Hahahaaaaaaaaa Kongosho imagine wakiwa wanasafiri na Bishanga halafu wakati wa kuchimba dawa ndio nianze kumng'ata huku Bishanga akishuhudia kwa mbaliiiii lol watakuwa wanamuita weeeee dada twende gari linakuacha na The secretary atasikika "Nendeni tu ntakuja na basi jingine"....Mizigo yako je? Atajibu " Bishanga ataibeba"Ha ha ha ha, simpatii picha The secretary mke wa Bishanga atakavyong'atwa afu atulie
Hahahaaaaaaa kama ukikosa jibu kabisa jibu kama alivyojibu Mentor kwa beibe nasty kuwa ni dada yangu
Hahahaaaa Mamndenyi ni wivu tu lol
Siunajua wanakuja kusign ndoa mpya wakati bi harusi ni nyumba ndogo yangu so nimeona ntakufa kwa presure bora niepushe matatizo
Heheheee najua lazma ujiteteee lool
Haya sawa mnunulie sasa au nikutumie mimi? au unataka kutoka beibe nasty tu?
Kwi kwi
Nipo mbona, umenitafuria wapi?Asante kwa salam, nakukumbuka pia.Mwambie naunganisha salamu zangu zimfikie Roulette popote alipo!
Nimemkumbuka sana!
Tena umebaki peke yako,
wale vidume wote wamefilisika mbaya kuanzia Asprin, Kaizer, Bishanga, Mr Rocky, Judgement, Smiling Saint, Nicas Mtei na wameingia mitini kina dada wamebaki wanashangaa tu humu.
Nimekuona tu hapo juu utanieleza home