Salamu mh. Mwigulu: Wana-Iramba wanakushangaa sana

Binafsi hata mimi kama mwanairamba nimesikitishwa sana na matendo ya MWIGULU.Kuna seheme aliwahi kuweka picha za ujenzi japo sikumbuki ilikuwa kitu gani, lakini yalikuwa ni majengo ya moramu. Hizi pesa za kuwaleta simba si bora angeboresha madarasa.

Kule Kinampanda kuna shule ya kata iko mita kama 300 toka kwenye nguzo za umeme lakini toka ianzishwe haijui umeme, lakini yeye haoni haya. Hela anazitumia kughilibu jitihada wa CDM na Dr. Slaa kuwajengea watu uwezo wa kifikra. Hii haina maana zaidi ya kutaka kudidimiza wanairamba kwa maslahi yake ya kisiasa.

Hata hivyo watu wamefika kwenye mkutano kwanza ndio wakaenda kwenye mpira wake-kwa hilo naona kuna kiasi flani cha uelewa kwa watu wale unaozidi ule wa mh. mwigulu.,

Halafu utashangaa na watu wengine walivyo wa ajabu! Wamekaa wanashabikia mkutano kukosa watu as if Slaa ndo anaishi Iramba. Haya ni mambo ya ajabu hasa kwa mtu anayefikiri sawasawa.

Msaidieni Migulu ili aweze kuwa msaada kwa wananchi wake waliomchagua. Mpeni ushauri hasa anapopotoka kijamii na kimaadili badala ya kuushabikia upuuzi wake na kumpa kichwa. Hapo mtakuwa mmetekeleza wajibu wenu kwake (Mwigulu) kama mwenzenu na kwa wananchi wake kama sehemu ya taifa. Vinginevyo ushabiki wa kijinga hata pale mtu anapofanya ujinga kunafanya tushindwe kuona tofauti ya wajinga na wenye akili eti kwa kuwa nao wanadai wana akili.
 
Ukisikia zuzu ndo huyu ndugu yangu mwigulu madelu nchemba. Mkutano wa chadema haukuwa na lengo la kupambana na sisiemu wala utawala wake dhalimu, bali mkutano huu ulikuwa mahsusi kwa kukusanya maoni ya wananchi juu ya rasimu ya katiba. Mwigulu akaona ni vema alete timu ya mpira ili watu wengi washindwe kwenda mkutanoni kutoa maoni yao. Mizengwe ilianza mapema pale wanachadema waliponyimwa kibali cha kutumia uwanja wa halmashauri ya iramba ( uwanja wa minyaa ) tukaomba uwanja wa shule ya msingi bomani nayo ikawa ngumu. Tukapangiwa eneo lililo wazi karibu na soko la samaki. Hatukubisha, watu walihudhuria na kubeza mpira ambao washiriki wake walibebwa kwa magari toka vijiji vya jirani kuja kuona simba. My take: Mkutano wa katiba ulikuwa ni muhimu kuliko simba na mpira wao ( simba walivyo wajanja walichezesha team c) pia malipo walopewa simba (takribani milioni 5) zilikuwa zinatosha kununua madawati ya shule moja nzima au hata kununua pampu ya maji ili wananchi wa kiomboi wapate maji ya kutosha hasa wakati huu wa shida ya maji.
 
Ndugu wana jf,
Wapigakura wa Iramba wanazidi kuletewa Sarakasi za aina yake na Mh Mwigulu Mnchemba mchumi wa first class GPA siri yake. Bonanza la mpira ni kichekesho kingine kwa wanairamba au pengine ni kejeli kwa kinara huyu wa siasa.

Tuseme hajui matatizo ya Iramba? Kiukweli huwezi pata first class chuo kikuu chochote kile duniani hata kwa ngazi ya Diploma tu usione kuwa alichofanya Mh Mwigulu jimboni kwake ni Siasa za kutaka sifa [ ili watu waone bado anakubalika jimboni kwake] huku wananchi wakisongwa na shida lukuki, mfano ona moja ya shule kule jimboni kwake ilivyo.[nimeambatanisha picha].

Kumwacha Dr slaa afanye mkutano bila yawewe kuileta Timu ya Simba[ watu wengi wamekuja kuwaona hao wachezaji wa samba na wala sio wewe] jimboni kwako ulijua tu heshima yako itashuka!!! Na ingeshuka kweli kama shule zako ndo hizi hapa. Hatukunyimi kuwaleta Simba ila kuwa mbunge wa wananchi na sio kwa matukio kama haya, yaani ningekuwa mimi ni Mkuu wa chuo cha Dar es salaam leo hii ningeshusha hadhi ya first class yako ya uchumi ni kukupa ‘’PASS’’ maan hauitendendei haki kabisa na wala bila kumumunya maneno haufanani nayo kabisa kwa haya [ japo tulio wengi hatuna uhakika kama unayo hiyo first class mkuu ].

Just a qn Elineena hivi hiyo shule inaitwaje? Na ipo katika kata gani, tarafa gani? Ni bora ukatuambia tukajua na sio kuandika ujinga humu usio na mashiko yenye kuwadhalilisha wanyiramba. Usilete chuki zako na Mwigulu ukawadhalilisha wanyiramba. Ni jibu nijuwe
 
Iramba hamna shule Kama hii kwa hakika wanyiramba katika kujenga shule zao wamefanya makubwa sana....huu utoto wako peleka FB
 
Ndugu wana jf,
Wapigakura wa Iramba wanazidi kuletewa Sarakasi za aina yake na Mh Mwigulu Mnchemba mchumi wa first class GPA siri yake. Bonanza la mpira ni kichekesho kingine kwa wanairamba au pengine ni kejeli kwa kinara huyu wa siasa.

Tuseme hajui matatizo ya Iramba? Kiukweli huwezi pata first class chuo kikuu chochote kile duniani hata kwa ngazi ya Diploma tu usione kuwa alichofanya Mh Mwigulu jimboni kwake ni Siasa za kutaka sifa [ ili watu waone bado anakubalika jimboni kwake] huku wananchi wakisongwa na shida lukuki, mfano ona moja ya shule kule jimboni kwake ilivyo.[nimeambatanisha picha].

Kumwacha Dr slaa afanye mkutano bila yawewe kuileta Timu ya Simba[ watu wengi wamekuja kuwaona hao wachezaji wa samba na wala sio wewe] jimboni kwako ulijua tu heshima yako itashuka!!! Na ingeshuka kweli kama shule zako ndo hizi hapa. Hatukunyimi kuwaleta Simba ila kuwa mbunge wa wananchi na sio kwa matukio kama haya, yaani ningekuwa mimi ni Mkuu wa chuo cha Dar es salaam leo hii ningeshusha hadhi ya first class yako ya uchumi ni kukupa ''PASS'' maan hauitendendei haki kabisa na wala bila kumumunya maneno haufanani nayo kabisa kwa haya [ japo tulio wengi hatuna uhakika kama unayo hiyo first class mkuu ].


kATIKA UCHUMI KUNA KA FALSAFA KANAITWA 'OPPORTUNITY' KWA HIYO HUYU JAMAA ANATUMIA 'OPPORTUNITY COST' YA UJINGA WA WANAIRAMBA KAMA MTAJI WAKE WA SIASA... NADHANI HAPENDI PIA HATAKI WAELIMIKE ILI AWATAWALE MILELE KAMA MZE MUGABEE....
 
Sijui umelaaniwa au ni elimu finyu inakufanya kuwa hivo. Katika maisha umri si tusi, na umri ni majaliwa ya mungu. Katika post zako nyingi unakomalia sana umri, wewe una umri gani? Je Mungu akupe nini kwa huo umri ulio nao? Dr Slaa ana kosa gani kuwa na huo umri alionao? Siasa zisikufanye uwe mjinga kiasi hicho kutukana watu kwa kigezo cha umri. Hivi umekosa kabisa point za kuongelea hadi kila siku kukomalia umri wa mtu. Mimi naona vijana mmevamia siasa bila kujua undani wa siasa.
mkuu mjukuu wa babu, naona unatafuta mbinu ya kujifariji na aibu ya babu yenu, muda wa kustaafu umefika, asisubiri aibu zaidi, aende zake na uongo wake..
 
Just a qn Elineena hivi hiyo shule inaitwaje? Na ipo katika kata gani, tarafa gani? Ni bora ukatuambia tukajua na sio kuandika ujinga humu usio na mashiko yenye kuwadhalilisha wanyiramba. Usilete chuki zako na Mwigulu ukawadhalilisha wanyiramba. Ni jibu nijuwe
Pamoja na kelele zote za Mwigulu pamoja na kuleta Simba kwa gharama ya sh. milion 15 bado jimboni kwake kuna shule za aina hii, hizo mil. 15 si angejenga hata darasa moja, poor 1st class.

attachment.php
 
kimsingi mwigulu nchemba hapaswi kulaumiwa,mwenye kubeba lawama hizi ni wanairamba wenyewa kwani kupanga ni kuchaguwa wao ndiyo wamechaguwa hayo
 
Kwikwiíi, mwigulu kiboko, yaani kawaghiribu wanairamba kwa kuwapelekea timu ya simba, kweli wanyiramba wamepatwa!
 
Ukisikia zuzu ndo huyu
ndugu yangu mwigulu madelu nchemba. Mkutano wa chadema haukuwa na lengo
la kupambana na sisiemu wala utawala wake dhalimu, bali mkutano huu
ulikuwa mahsusi kwa kukusanya maoni ya wananchi juu ya rasimu ya katiba.
Mwigulu akaona ni vema alete timu ya mpira ili watu wengi washindwe
kwenda mkutanoni kutoa maoni yao. Mizengwe ilianza mapema pale
wanachadema waliponyimwa kibali cha kutumia uwanja wa halmashauri ya
iramba ( uwanja wa minyaa ) tukaomba uwanja wa shule ya msingi bomani
nayo ikawa ngumu. Tukapangiwa eneo lililo wazi karibu na soko la samaki.
Hatukubisha, watu walihudhuria na kubeza mpira ambao washiriki wake
walibebwa kwa magari toka vijiji vya jirani kuja kuona simba. My take:
Mkutano wa katiba ulikuwa ni muhimu kuliko simba na mpira wao ( simba
walivyo wajanja walichezesha team c) pia malipo walopewa simba
(takribani milioni 5) zilikuwa zinatosha kununua madawati ya shule moja
nzima au hata kununua pampu ya maji ili wananchi wa kiomboi wapate maji
ya kutosha hasa wakati huu wa shida ya maji.

Huyu anawaza siasa from morning to evening.
 
Mwigulu noma unawapelekea watu timu ya mpira badala ya kuwaboreshea shule zao, KWI! KWI! KWI! KWI! KWI! ww noma mkuu

Mwigulu si anawajua watu wake kuwa wapo wapo tu!! ukizingatia kwamba hawajawahi kuona klabu kubwa kama Simba!! Mungu awape nini zaidi ya Mwigulu! wanasahau shida zao zote.

Only time will tell how long his political journey will last! But if I were to have my way; The earlier the better.
 
Just a qn Elineena hivi hiyo
shule inaitwaje? Na ipo katika kata gani, tarafa gani? Ni bora
ukatuambia tukajua na sio kuandika ujinga humu usio na mashiko yenye
kuwadhalilisha wanyiramba. Usilete chuki zako na Mwigulu ukawadhalilisha
wanyiramba. Ni jibu nijuwe

Wewe ni Mwanairamba sio? yaan hujui map ya Ulipozaliwa? mulize Mwigulu anaifahamu ndo maana kakaaa kimya!
 
Iramba hamna shule Kama hii
kwa hakika wanyiramba katika kujenga shule zao wamefanya makubwa
sana....huu utoto wako peleka FB

Shelui itakuwa ww ni Mwanairamba wa Dar na sio wa kule Iramba. mkataa kwao ni mtumwa!
 
Back
Top Bottom