Salamu mh. Mwigulu: Wana-Iramba wanakushangaa sana

Salamu mh. Mwigulu: Wana-Iramba wanakushangaa sana

Elineema J Mosi

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2013
Posts
808
Reaction score
148
Ndugu wana jf,
Wapigakura wa Iramba wanazidi kuletewa Sarakasi za aina yake na Mh Mwigulu Mnchemba mchumi wa first class GPA siri yake. Bonanza la mpira ni kichekesho kingine kwa wanairamba au pengine ni kejeli kwa kinara huyu wa siasa.

Tuseme hajui matatizo ya Iramba? Kiukweli huwezi pata first class chuo kikuu chochote kile duniani hata kwa ngazi ya Diploma tu usione kuwa alichofanya Mh Mwigulu jimboni kwake ni Siasa za kutaka sifa [ ili watu waone bado anakubalika jimboni kwake] huku wananchi wakisongwa na shida lukuki, mfano ona moja ya shule kule jimboni kwake ilivyo.[nimeambatanisha picha].

Kumwacha Dr slaa afanye mkutano bila yawewe kuileta Timu ya Simba[ watu wengi wamekuja kuwaona hao wachezaji wa samba na wala sio wewe] jimboni kwako ulijua tu heshima yako itashuka!!! Na ingeshuka kweli kama shule zako ndo hizi hapa. Hatukunyimi kuwaleta Simba ila kuwa mbunge wa wananchi na sio kwa matukio kama haya, yaani ningekuwa mimi ni Mkuu wa chuo cha Dar es salaam leo hii ningeshusha hadhi ya first class yako ya uchumi ni kukupa ''PASS'' maan hauitendendei haki kabisa na wala bila kumumunya maneno haufanani nayo kabisa kwa haya [ japo tulio wengi hatuna uhakika kama unayo hiyo first class mkuu ].
 
attachment.php
 
Salaam hizo ziwafikie na Wana Iramba wote walio jimboni kwa Mwigulu. Kama wanafikiri kuwa na Mnyiramba bungeni ndiyo sifa wakati wao wanadoda kazi kwao.

Nawashauri wananchi hao na Watanzania wote waache upuuzi wa kushabikia siasa na wana siasa na badala yake waangalie maendeleo yao. Vinginevyo mwisho wa siku watu watachagua kuangalia mpira badala ya kuchangia maoni ya katiba yao kwa faida yao wenyewe halafu inaendelea kula kwao wananchi, Mwigulu mshahara atalipwa kwa kodi za jasho lao na ataendelea kuwajaza ujinga.

Kwa anayejua kufikiria kwa lugha sahihi ataona jinsi ambavyo siyo tu wamepoteza fursa ya kutoa maoni yao, ila pia Mbunge wao ametumia fedha vibaya kwani badala ya kuwagharimia Simba FC na vikundi vya mdundiko angeelekeza fedha hizo hata kama ni kidogo kuinua walau msingi wa mojawapo ya shule hizo za kusikitisha. Naamini hata Mwigulu anapaswa kuona alivyoshindwa kuwa na akili fikirivu na asivyokuwa msaada kwa wapiga kura wake. Hii ni aibu kwa kiongozi na hasa anayedai kuwa msomi. Na kutumia ujinga wa wananchi kuendelea kuwaumiza kwa faida na pride ya mtu binafsi ni dhambi kubwa.

Hii ndiyo demokrasia. Kila mtu achague anachotaka, hata kama mtu atachagua madudu. Ila baadaye wasilaumu yeyote.
 
kawapelekea Wanyiramba Timu ya mpira KWI KWI Kweli Mwigulu kiboko.
 
huyu jamaa ni limbukeni bingwa wa kupiga domo jimboni kwake kama iraq
 
mkuu mjukuu wa babu, naona unatafuta mbinu ya kujifariji na aibu ya babu yenu, muda wa kustaafu umefika, asisubiri aibu zaidi, aende zake na uongo wake..
 
Mwigulu noma unawapelekea watu timu ya mpira badala ya kuwaboreshea shule zao, KWI! KWI! KWI! KWI! KWI! ww noma mkuu
 
Jamani hiyo shule ndio ya Mwigulu wa first class of Economics!! Kweli..huyu jamaa nahisi ni mgonjwa wa akili
 
ataijulia wapi hata hii shule haikumbuki, utasikia Hiyo shule haiku Iramba.
 
Iraq iaafadhali, alishajua wanairamba hawawajui Simba , Next time atawapelekea THE COMEDI huyu si bingwa wa vituko SUBIRI?
 
Back
Top Bottom