Elineema J Mosi
JF-Expert Member
- May 17, 2013
- 808
- 148
- Thread starter
- #41
maskini wanairamba! Hiyo shule ipo kijiji gani vile?
Kaka unaniuliza mm au Mh Mwigulu
maskini wanairamba! Hiyo shule ipo kijiji gani vile?
humu jf kuna vilaza wengi ila
Elineema we dada umezidi ulicho andika na unavyo jichekesha unaonekana
una taka dume humu sio haba utapata
Unachekacheka nn we mdada toa hoja humu sio kwenye madanguro uliyo zoea
shule umeitafuta kwenye jf photoz ili kumchafua mwigulu we dada neema wewe mbona unamatatizo
Mwigulu sitashangaa kumuona kwenye choo cha pasport, akili zake kama kunguni.
bado una cheka cheka tu .kajipange kona bar utapata teja mmja
leo unajitekenya mwenyewe na kucheka we neema vp unamtamani mwigulu
Hii picha ni kweli imepigwa Iramba
nlikuwa naiona kwenye mitandao siku za nyuma pia
![]()
jana alijisifu kuwa kila shule ina walimu kumi
hawana shida ya maji na wana barabara nzuri.
Sijaipenda tabia yako
ya kujibu comment bila kum qoute mhusika adhawaizi nitakuweka kwenye
lile kundi la mcc ingawa unaonekana ni mpambanaji lakini nimeusoma
mchezo wako wote sijui nikutukane kiaina?
Sasa ni wakati wa CCM
Kujifunza yaliyotokea Libya na Misri,Kwani Gaddafi na Mubaraka hapo
mwanzo walikuwa hawapendwi na wananchi wao?.Itafika wakati Kwa mambo CCM
wanayofanya Hao viongozi kama Mwigulu watakimbia nchi kwa kuwaogopa
wananchi wasiwaue ,Nadhani hivyo first Class yake Bure kabisha
anashindwa kupima mambo kwa umuhimu wake? au kawaona hao wana iramba
mazezeta mpaka hawapelekee timu ya simba? daah kweli huyu jamaa Majanga
sana.Ipo siku ambaya aina jina watawakimbia wananchi kama wanavyomkimbia
Nyati au Simba
Salaam hizo ziwafikie na Wana Iramba wote walio jimboni kwa Mwigulu. Kama wanafikiri kuwa na Mnyiramba bungeni ndiyo sifa wakati wao wanadoda kazi kwao.
Nawashauri wananchi hao na Watanzania wote waache upuuzi wa kushabikia siasa na wana siasa na waangalie maendeleo yao. Vinginevyo mwisho wa siku watu watachagua kuangalia mpira badala ya kuchangia maoni ya katiba yao kwa faida yao wenyewe halafu inaendelea kula kwao wananchi, Mwigulu mshahara atalipwa kwa kodi za jasho lao na atendelea kuwajaza ujinga.
Kwa anayejua kufikiria kwa lugha sahihi ataona jinsi ambavyo siyo tu wamepoteza fursa ya kutoa maoni yao, ila pia Mbunge wao ametumia fedha vibaya kwani badala ya kuwagharimia Simba na vikundi vya mdundiko angeelekeza fedha hizo hata kama ni kidogo kuinua walau msingi wa mojawapo ya shule hizo za kusikitisha. Naamini hata Mwigulu anapaswa kuona alivyoshindwa kuwa na akili fikirivu na asivyokuwa msaada kwa wapiga kura wake. Hii ni aibu kwa kiongozi na hasa anayedai kuwa msomi. Na kutumia ujinga wa wananchi kuendelea kuwaumiza kwa faida na pride ya mtu binafsi ni dhambi kubwa.
Hii ndiyo demokrasia. Kila mtu achague anachotaka, hata kama mtu atachagua madudu. Ila baadaye wasilaumu yeyote.
M 23
Usifikiri watu humu jf wanazo akili kama zako,hauna unachojua umekalia
majungu nenda kwa wenzako akina Hamy-D,Ukwaju,uncle Deo,na wajinga
wengine
Katiba
Alichokifanya Mwigulu ni upuuzi kwani kutengeneza katiba hiyo ni ya Cdm
au ccm au ni ya Watanzania wote? Kwa mtu anaejisifia kwamba ni mchumi
first class ni upuuzi wa kufa mtu
Umetumia ushamba wa watu wa Iramba kugonganisha matukio ili wasiende na
baadae kuja kujisifu jf kwamba hiyo ndiyo Iramba,kizazi kijacho
kitakulaani ingawa wajiona mjanja kwa kuwanyima fursa ya kutoa maoni yao
ili yaingizwe kwenye katiba mpya
Hiyo katiba mpya itatumiwa na cdm tu au na hao ccm uliowadanganya?
Kama kwa hiyo akili ndio ulipata first class wewe ni zumbukuku
kinoma
Mimi nawashangaa nyie
mnaoshangaa Mwiguru kupeleka timu ya Simba Iramba. Wanasisa wetu wengi
hizi publicity ndiyo wanazitafuta, ni mara ngapi mmewasikia wakipeleka
mipira na jezi wakiaandamana na waandishi wa habari wenye makamera ili
tu watangazwe kuanzisha mashindano ya michezo kwa kuyaita majina yao!
Na mara nyingi siyo endelevu - akikosa anachokitafuta mradi huo unakufa.
Priority zetu mara zote si sahihi.
Ndugu wana jf,
Wapigakura wa Iramba wanazidi kuletewa Sarakasi za aina yake na Mh Mwigulu Mnchemba mchumi wa first class GPA siri yake. Bonanza la mpira ni kichekesho kingine kwa wanairamba au pengine ni kejeli kwa kinara huyu wa siasa.
Tuseme hajui matatizo ya Iramba? Kiukweli huwezi pata first class chuo kikuu chochote kile duniani hata kwa ngazi ya Diploma tu usione kuwa alichofanya Mh Mwigulu jimboni kwake ni Siasa za kutaka sifa [ ili watu waone bado anakubalika jimboni kwake] huku wananchi wakisongwa na shida lukuki, mfano ona moja ya shule kule jimboni kwake ilivyo.[nimeambatanisha picha].
Kumwacha Dr slaa afanye mkutano bila yawewe kuileta Timu ya Simba[ watu wengi wamekuja kuwaona hao wachezaji wa samba na wala sio wewe] jimboni kwako ulijua tu heshima yako itashuka!!! Na ingeshuka kweli kama shule zako ndo hizi hapa. Hatukunyimi kuwaleta Simba ila kuwa mbunge wa wananchi na sio kwa matukio kama haya, yaani ningekuwa mimi ni Mkuu wa chuo cha Dar es salaam leo hii ningeshusha hadhi ya first class yako ya uchumi ni kukupa ''PASS'' maan hauitendendei haki kabisa na wala bila kumumunya maneno haufanani nayo kabisa kwa haya [ japo tulio wengi hatuna uhakika kama unayo hiyo first class mkuu ].
Binafsi hata mimi
kama mwanairamba nimesikitishwa sana na matendo ya MWIGULU.Kuna seheme
aliwahi kuweka picha za ujenzi japo sikumbuki ilikuwa kitu gani, lakini
yalikuwa ni majengo ya moramu. Hizi pesa za kuwaleta simba si bora
angeboresha madarasa.
Kule Kinampanda kuna shule ya kata iko mita kama 300 toka kwenye nguzo
za umeme lakini toka ianzishwe haijui umeme, lakini yeye haoni haya.
Hela anazitumia kughilibu jitihada wa CDM na Dr. Slaa kuwajengea watu
uwezo wa kifikra. Hii haina maana zaidi ya kutaka kudidimiza wanairamba
kwa maslahi yake ya kisiasa.
Hata hivyo watu wamefika kwenye mkutano kwanza ndio wakaenda kwenye
mpira wake-kwa hilo naona kuna kiasi flani cha uelewa kwa watu wale
unaozidi ule wa mh. mwigulu.,
Hivi kweli kabisa
shule hii iko Iramba-huku m,bunge jana kasema mambo ni shwari??? maskini
wanyiramba wenzangu tulichagua nini sana.
I doubt Mchumi No. 1;
Tanzania's Adam Smith has the reqisite intellectual capacity to
comprehend and subsquently put into use all that is contained in this
report!!
If you shout CHADEMA while he is reading the report, anapagawa anakwenda
kuandaa movie ya ugaidi na kubuni njama za kummaliza Adui yake No.1 Dr.
Slaa!!
mkuu mjukuu wa babu, naona unatafuta mbinu ya kujifariji na aibu ya babu yenu, muda wa kustaafu umefika, asisubiri aibu zaidi, aende zake na uongo wake..