Salamu mh. Mwigulu: Wana-Iramba wanakushangaa sana

Salamu mh. Mwigulu: Wana-Iramba wanakushangaa sana

Wakati mwingine nadhani na makosa ya wanairamba wenyewe, Mwigulu kwa ujinga ngazi ile alipaswa asiwe hata na mke, may be mme angemfaa sana; imagine ktkt ya shida kama hiyo shule unapeleka timu ya mpira???? IRAMBA AMKENI KUMEKUCHA, KUSHANGAA TANGU UHURU 1961 hadi leo NOMAAAA SAAAANAA
 
Jamani hiyo shule ndio ya Mwigulu wa first class of Economics!! Kweli..huyu jamaa nahisi ni mgonjwa wa akili

I stand to be corrected.

Nilimsikia siku ile Mwigulu alivyosema yeye ni " FIRST CLASS ECONOMIST". This is a contradicting statement. Nilivomuelewa mimi ni kwamba hakumaanisha alipata First Class katika Shahada yake ya uchumi bali ni Mchumi daraja la Kwanza kama ilivyo kwa ngazi mbalimbali katika utumishi wa umma. Mfano Mwalimu kuitwa education Officer I au Education Officer II. Au Systems Administrator Grade II nakadhalika nakadhalika. Haimaanishi Huyu Mwalimu (Education Officer Grade I) alipata First Class katika Shahada yake ya Ualimu.

Matendo ya Mwigulu yananishawishi nimuelewe alikuwa ana maana hii and not otherwise.
 
Kwa ninavyomjau na kumfahamu Mh! shimiwa mwigulu hii Shule atakuwa ameisahau , na kama unavyojua yuko biz sana na mambo ya kitaifa kuhakikisha chama kinaendelea kushika hatamu, sasa shule kama hiyo nadhani hata mkuu wa wilaya anaweza kusaidia au diwani , au hata vyama vya upinzani sio lazima yeye bwana ! msimchanganya ebo!
 
Kwa ninavyomjau na kumfahamu
Mh! shimiwa mwigulu hii Shule atakuwa ameisahau , na kama unavyojua yuko
biz sana na mambo ya kitaifa kuhakikisha chama kinaendelea kushika
hatamu, sasa shule kama hiyo nadhani hata mkuu wa wilaya anaweza
kusaidia au diwani , au hata vyama vya upinzani sio lazima yeye bwana !
msimchanganya ebo!

Eboooo basi ajiuzulu Ubunge wengine wakalete maendeleo pale.
 
  • [h=5]tunashuhudia mikoa mingi yenye viongozi wa ccm{wabunge} inaongoza kwa kufanya vibaya kitaaluma na hata kimaendeleo,mfano singida,lindi,mtwara,dodoma n.k.inaaminika kumtawala mjinga ni rahisi sana. Nashindwa kuelewa vipaumbele vikubwa wanaviweka wapi,ni wazuri kweli kwenye kuimba na kucheza "hiyena hiyena". Mfano mzuri ni naibu katibu mkuu ambae pia ni mbunge wa iramba ambako kuna mapungufu makubwa katika elimu,afya n.k. Aliona ni vema kuita timu ya simba jimboni kwa sh.mil 13 ili dr.slaa asisikilizwe na wakati hata dawa hospitali hakuna.upande wa elimu jimbo la shumbi madelu katika mkoa wa singida ndio la mwisho kitaaluma ukifatilia matokeo ya miaka tofauti.mfano mwaka 2012 kidato cha nne..mkoa wa singida una jumla ya shule 94 za sekondari,5 bora kutoka mwisho zimebebwa na iramba ambazo ni new kiomboi sec,mgongo sec na kyengege sec .shule ya 94 yani ya mwisho kabisa iinaitwa kyengege alikozaliwa mwigulu ,kati ya wanafunzi 1804 wa jimbo lake wanafunzi 1052 wana div 0,wenye uwezekano wa kuendelea na elimu ni wanafunzi 30 tu.hawana madawati wala madarasa.halafu akija humu mitandaoni anatishia watu maisha na kujikweza.mwigulu should know that when people give you authority to be a leader,they are actually giving u permission to have authority rather than giving u authority itself. Kwa maana nyingine wananchi ndio mabosi wako na wana nafasi kubwa ya kukukosoa...!
    [/h]

 
Ndugu wana jf,
Wapigakura wa Iramba wanazidi kuletewa Sarakasi za aina yake na Mh Mwigulu Mnchemba mchumi wa first class GPA siri yake. Bonanza la mpira ni kichekesho kingine kwa wanairamba au pengine ni kejeli kwa kinara huyu wa siasa.

Tuseme hajui matatizo ya Iramba? Kiukweli huwezi pata first class chuo kikuu chochote kile duniani hata kwa ngazi ya Diploma tu usione kuwa alichofanya Mh Mwigulu jimboni kwake ni Siasa za kutaka sifa [ ili watu waone bado anakubalika jimboni kwake] huku wananchi wakisongwa na shida lukuki, mfano ona moja ya shule kule jimboni kwake ilivyo.[nimeambatanisha picha].

Kumwacha Dr slaa afanye mkutano bila yawewe kuileta Timu ya Simba[ watu wengi wamekuja kuwaona hao wachezaji wa samba na wala sio wewe] jimboni kwako ulijua tu heshima yako itashuka!!! Na ingeshuka kweli kama shule zako ndo hizi hapa. Hatukunyimi kuwaleta Simba ila kuwa mbunge wa wananchi na sio kwa matukio kama haya, yaani ningekuwa mimi ni Mkuu wa chuo cha Dar es salaam leo hii ningeshusha hadhi ya first class yako ya uchumi ni kukupa ‘’PASS’’ maan hauitendendei haki kabisa na wala bila kumumunya maneno haufanani nayo kabisa kwa haya [ japo tulio wengi hatuna uhakika kama unayo hiyo first class mkuu ].
Du! Hayo ni makinda ya ndege au wanafunzi chini ya kiota?
 
kwahy picha ya shule hyo ,kweli the big results now itakuwepo?hii nch kweli imekosa uelekeo,
 
Hivi Mwigulu na mtu wa namna gani? ni mwanamke au mwanamme? jimbo lake lipo Mkoa gani? Ameoa au ameolewa? Naomba mnijuze maana mie sijui lolote kuhusu huyu binadamu:frusty:
 
Back
Top Bottom