Elineema J Mosi
JF-Expert Member
- May 17, 2013
- 808
- 148
- Thread starter
- #21
Kaka hata yeye haikumbuki mkuu, Utasiki achene unafiki hiyo shule haipo mahali popote Tanzania, kumbe ipo Iramba kwake.
kaka umeona huyu mchumi wetu shule zake.
kawapelekea Wanyiramba Timu ya mpira KWI KWI Kweli Mwigulu kiboko.
Umeona mkuu, hapa jamaa atachekelea kumkomoa Dr Slaa lakini hii shule haikumbuki!!!??
Mwigulu noma unawapelekea watu timu ya mpira badala ya kuwaboreshea shule zao, KWI! KWI! KWI! KWI! KWI! ww noma mkuu
Na mimi namwambia Tutaheshimia tu, shule mbovu hivi, kwi kwi kwi.
Iramba kaka
shule umeitafuta kwenye jf photoz ili kumchafua mwigulu we dada neema wewe mbona unamatatizo