Elineema J Mosi
JF-Expert Member
- May 17, 2013
- 808
- 148
- Thread starter
- #121
Great minds discuss ideas, small minds discuss people
Mkigushwa sehemu nyeti mnaanza kujipepesa na kujifaragua
Great minds discuss ideas, small minds discuss people
Haaaa hiiiii Tanzania watu wanasoma chini ya mti
kwa hiyo
unachotaka kusema ni kwamba sisi wenye PASS pale chuoni hatuna akili au?
hivi kumbe pass pale chuo ni tatizo eeh? sijui kama unajua hili: elimu
si kiasi gani unaweza kukumbuka siku ya mtihani, bali kujua mtizamo wa
kiujumla wa hoja ya msingi na kujua ni wapi utapata taarifa ya kina
kuhusu suala husika unapohitaji undani wake. kwa hiyo maisha ni OPEN
BOOK exam.
Maisha hayana past papers za ku-kremu. Huyu Mwigulu anawezekana ni
kweli alipata First Class kwa aina ya elimu unayoijua wewe ya kupass
exams. Kumbe Maisha ni Open Book Exam: You must know the right sources
of information and use them. MWIGULU NA CCM YAKE HAWANA WASHAURI. That
is the source of the problem na si aina gani ya degree class alipata.
Najilaumu kusomea chuo alichosomea kanjanja Mwigulu!
Pengine mleta mada hakueleweka!
Mie nadhani alimanisha kule kujidai na FIRST CLASS kwa Mwigulu hakufanani na kile kinachoonekana nje!
Na ni kwa sababu sijawahi kuna mtu akijisifia na PASS degree hata kama amefanikiwa katika maisha!
Kitendo cha Mwigulu kujisifia na FIRST CLASS ni kama kusema wenye PASS ni watu bure!
COPY tena!?
Unamwambia mwana-CCM aweke copy?!
Mbona hiyo ni kazi ndogo kwa STATIONARY zilizojaa vijana wasomo wa Uhazili na Designing!
Atakuletea tena chenye kutoa sauti!
Tunachotaka ni anaitumiaje FIRST CLASS kuifanya nchi yetu iwe first class ya kiuchumi!
Juzi juzi nilikuwa
Kiomboi, nikakuta lori la tani 40 linashusha sement. Barabara kwenda
Kiomboi haitakiwi kupitisha magari ya zaidi ya tani 10. Sheria inavunjwa
wazi wazi huku Mwigulu akiimba CDM. Angelikuwa mwakilishi makini wa
wananchi upuuzi huu usingetokea maana angelisimamia shughuli za
maendeleo na kuhakikisha kuwa barabara za jimbo lake
haziharibiwi.
Pole mkuu ila chuo hakina shida tatizo ni huyu mchumi feki
unamchukia mwigulu kwakuwa sio mchaga kama wewe .acha chuki ya kikabila dogo
mwanakijiji wa mgongo,shelui ananitonya wameahidiwa maji huu mwaka wa 15,bila bila.juzi kati kawaahidi umeme,kwenye bajeti hakuna
picha hii ni ya hapa hapa tanzania?
Mwigulu anachukiwa na kila mpenda Amani,bila kujali ni Mtu Wa chama gani,kwani ugaidi wake haukubaliki
Kwe kwe kwe...... Sitaki kuamini kama hiyo shule ipo tanzania
mmmmmmmmmh?
kabisa tena iramba mkuu
Simchukii kwasababu sio mchaga bali nachukia chama chake
na mimi namwambia tutaheshimia tu, shule mbovu hivi, kwi kwi kwi.
Wee ndio humpendi lakini sie wapiga kura wake tunampenda sana na kipenzi cha wanyiramba. Huyu ni mtu wa watu na chukizo la mahafidhina na wapenda Shari.
Viva Mwigulu a.k.a Lalilali