Salamu mh. Mwigulu: Wana-Iramba wanakushangaa sana

Salamu mh. Mwigulu: Wana-Iramba wanakushangaa sana

kATIKA UCHUMI KUNA
KA FALSAFA KANAITWA 'OPPORTUNITY' KWA HIYO HUYU JAMAA ANATUMIA
'OPPORTUNITY COST' YA UJINGA WA WANAIRAMBA KAMA MTAJI WAKE WA SIASA...
NADHANI HAPENDI PIA HATAKI WAELIMIKE ILI AWATAWALE MILELE KAMA MZE
MUGABEE....

Yes yaaaa your right.
 
kuna watu wabishi kweli, eti unabisha kuwa shule hii haiko Iramba, twambie iko wapi.
 
kwani kaugua ugonjwa gani?

Huyo bwana hata mumpe somo kiasi gani hawezi kubadilika kwani wewe ukimwangalia kwa makini unaona yuko sawa kweli? nafikri hakuna haja yakupoteza mda naye bahati nzuri kila kukicha watu wanapata vioja vipya kutoka kwake mpaka 2015 wengi watamwelewa tu
 
Sijui umelaaniwa au ni
elimu finyu inakufanya kuwa hivo. Katika maisha umri si tusi, na umri ni
majaliwa ya mungu. Katika post zako nyingi unakomalia sana umri, wewe
una umri gani? Je Mungu akupe nini kwa huo umri ulio nao? Dr Slaa ana
kosa gani kuwa na huo umri alionao? Siasa zisikufanye uwe mjinga kiasi
hicho kutukana watu kwa kigezo cha umri. Hivi umekosa kabisa point za
kuongelea hadi kila siku kukomalia umri wa mtu. Mimi naona vijana
mmevamia siasa bila kujua undani wa siasa.

huyo mwachee ataamshwa mwakani bado kalala.
 
Huyo bwana hata mumpe
somo kiasi gani hawezi kubadilika kwani wewe ukimwangalia kwa makini
unaona yuko sawa kweli? nafikri hakuna haja yakupoteza mda naye bahati
nzuri kila kukicha watu wanapata vioja vipya kutoka kwake mpaka 2015
wengi watamwelewa tu

kabisa mkuu
 
Pamoja na kelele zote za
Mwigulu pamoja na kuleta Simba kwa gharama ya sh. milion 15 bado jimboni
kwake kuna shule za aina hii, hizo mil. 15 si angejenga hata darasa
moja, poor 1st class.

attachment.php

Daaaaa daaa kumbe katokwa pesa nyingi hivyo angegawa hata Madawati mashuleni lakini wapi kwa sifa ss
 
Nililiongelea hili kwa hasira sana jana...nashukuru mliompigia kura mmeliona!
 
Sijui umelaaniwa au ni elimu finyu inakufanya kuwa hivo. Katika maisha umri si tusi, na umri ni majaliwa ya mungu. Katika post zako nyingi unakomalia sana umri, wewe una umri gani? Je Mungu akupe nini kwa huo umri ulio nao? Dr Slaa ana kosa gani kuwa na huo umri alionao? Siasa zisikufanye uwe mjinga kiasi hicho kutukana watu kwa kigezo cha umri. Hivi umekosa kabisa point za kuongelea hadi kila siku kukomalia umri wa mtu. Mimi naona vijana mmevamia siasa bila kujua undani wa siasa.
Naamini atakuwa amekuelewa mkuu hatorudia, maana fact ni kuwa aging ni physiological process anayopitia kila kiumbe hai,!!
 
Gaidi Mwigulu yuko busy kutengeneza sinema fake za kubambikizia kesi viongozi wa CDM na kasahau kayaweka pembeni matatizo makubwa jimboni kwake.
 
[FONT=century
gothic]Gaidi Mwigulu yuko busy kutengeneza sinema fake za
kubambikizia kesi viongozi wa CDM na kasahau kayaweka pembeni matatizo
makubwa jimboni kwake.
[/FONT]

mkuu naona hiyo kazi ya Unaibu katibu mkuu imemshinda huyu Muheshimiwa sana.
 
Back
Top Bottom