Salamu mh. Mwigulu: Wana-Iramba wanakushangaa sana

Salamu mh. Mwigulu: Wana-Iramba wanakushangaa sana

mchumia tumbo... namashaka na hiyo first class yake
 
Mkuu ndani ya CCM hakuna yeyote anayemudu kazi yake ndio maana madudu ndani ya chama hicho ni ya kutisha na matokeo yake nchi kuyumba sana.

mkuu naona hiyo kazi ya Unaibu katibu mkuu imemshinda huyu Muheshimiwa sana.
 
[FONT=century
gothic]Mkuu ndani ya CCM hakuna yeyote anayemudu kazi yake ndio
maana madudu ndani ya chama hicho ni ya kutisha na matokeo yake nchi
kuyumba sana.
[/FONT]


Mmmmmmmmmmh aya bwana
 
Mwigulu ni ajenda ya kudumu ktk vikao vya machadema
 
Great minds discuss ideas, small minds discuss people
 
Ndugu wana jf,
Wapigakura wa Iramba wanazidi kuletewa Sarakasi za aina yake na Mh Mwigulu Mnchemba mchumi wa first class GPA siri yake. Bonanza la mpira ni kichekesho kingine kwa wanairamba au pengine ni kejeli kwa kinara huyu wa siasa.

Tuseme hajui matatizo ya Iramba? Kiukweli huwezi pata first class chuo kikuu chochote kile duniani hata kwa ngazi ya Diploma tu usione kuwa alichofanya Mh Mwigulu jimboni kwake ni Siasa za kutaka sifa [ ili watu waone bado anakubalika jimboni kwake] huku wananchi wakisongwa na shida lukuki, mfano ona moja ya shule kule jimboni kwake ilivyo.[nimeambatanisha picha].

Kumwacha Dr slaa afanye mkutano bila yawewe kuileta Timu ya Simba[ watu wengi wamekuja kuwaona hao wachezaji wa samba na wala sio wewe] jimboni kwako ulijua tu heshima yako itashuka!!! Na ingeshuka kweli kama shule zako ndo hizi hapa. Hatukunyimi kuwaleta Simba ila kuwa mbunge wa wananchi na sio kwa matukio kama haya, yaani ningekuwa mimi ni Mkuu wa chuo cha Dar es salaam leo hii ningeshusha hadhi ya first class yako ya uchumi ni kukupa ''PASS'' maan hauitendendei haki kabisa na wala bila kumumunya maneno haufanani nayo kabisa kwa haya [ japo tulio wengi hatuna uhakika kama unayo hiyo first class mkuu ].

kwa hiyo unachotaka kusema ni kwamba sisi wenye PASS pale chuoni hatuna akili au? hivi kumbe pass pale chuo ni tatizo eeh? sijui kama unajua hili: elimu si kiasi gani unaweza kukumbuka siku ya mtihani, bali kujua mtizamo wa kiujumla wa hoja ya msingi na kujua ni wapi utapata taarifa ya kina kuhusu suala husika unapohitaji undani wake. kwa hiyo maisha ni OPEN BOOK exam.

Maisha hayana past papers za ku-kremu. Huyu Mwigulu anawezekana ni kweli alipata First Class kwa aina ya elimu unayoijua wewe ya kupass exams. Kumbe Maisha ni Open Book Exam: You must know the right sources of information and use them. MWIGULU NA CCM YAKE HAWANA WASHAURI. That is the source of the problem na si aina gani ya degree class alipata.
 
yaani ningekuwa mimi ni Mkuu wa chuo cha Dar es salaam leo hii ningeshusha hadhi ya first class yako ya uchumi ni kukupa ‘’PASS’’ maan hauitendendei haki kabisa na wala bila kumumunya maneno haufanani nayo kabisa kwa haya [ japo tulio wengi hatuna uhakika kama unayo hiyo first class mkuu ].

Najilaumu kusomea chuo alichosomea kanjanja Mwigulu!
 
kwa hiyo unachotaka kusema ni kwamba sisi wenye PASS pale chuoni hatuna akili au? hivi kumbe pass pale chuo ni tatizo eeh?

Pengine mleta mada hakueleweka!
Mie nadhani alimanisha kule kujidai na FIRST CLASS kwa Mwigulu hakufanani na kile kinachoonekana nje!
Na ni kwa sababu sijawahi kuna mtu akijisifia na PASS degree hata kama amefanikiwa katika maisha!
Kitendo cha Mwigulu kujisifia na FIRST CLASS ni kama kusema wenye PASS ni watu bure!
 
Hata mm ila namwomba atuwekee hapa copy ya hicho cheti chake cha First class ya uchumi tukione

COPY tena!?
Unamwambia mwana-CCM aweke copy?!
Mbona hiyo ni kazi ndogo kwa STATIONARY zilizojaa vijana wasomo wa Uhazili na Designing!
Atakuletea tena chenye kutoa sauti!
Tunachotaka ni anaitumiaje FIRST CLASS kuifanya nchi yetu iwe first class ya kiuchumi!
 
Sijui umelaaniwa au ni elimu finyu inakufanya kuwa hivo. Katika maisha umri si tusi, na umri ni majaliwa ya mungu. Katika post zako nyingi unakomalia sana umri, wewe una umri gani? Je Mungu akupe nini kwa huo umri ulio nao? Dr Slaa ana kosa gani kuwa na huo umri alionao? Siasa zisikufanye uwe mjinga kiasi hicho kutukana watu kwa kigezo cha umri. Hivi umekosa kabisa point za kuongelea hadi kila siku kukomalia umri wa mtu. Mimi naona vijana mmevamia siasa bila kujua undani wa siasa.

umri nao una nafasi yake, kuna umri unatakiwa kuyaacha majukumu ambayo ni challenging na kukaa nyumbani kucheza na wajukuu, ndio maana wakaweka na umri wa kustaafu
 
kaka umeona huyu mchumi wetu shule zake.

Uwezo wa Mwigulu kufikiri ni mdogo sana. Kama mbunge angelikuwa anapigania maendeleo ya jimbo lake either kwa kupata fedha toka serekalini, nguvu za wananchi wake na wafadhili mbali mbali. Lakini yeye kila kukicha ni CDM tuu. Jee kwa kukodisha timu ya mpira kwenda Kiomboi kumesaidia kujenga shule au zahanati?
 
Juzi juzi nilikuwa Kiomboi, nikakuta lori la tani 40 linashusha sement. Barabara kwenda Kiomboi haitakiwi kupitisha magari ya zaidi ya tani 10. Sheria inavunjwa wazi wazi huku Mwigulu akiimba CDM. Angelikuwa mwakilishi makini wa wananchi upuuzi huu usingetokea maana angelisimamia shughuli za maendeleo na kuhakikisha kuwa barabara za jimbo lake haziharibiwi.
 
Back
Top Bottom