Salamu kwa Askofu Gwajima

Salamu kwa Askofu Gwajima

Alloyce PR

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2020
Posts
590
Reaction score
706
20250719_1917_Dira na Uzalendo_simple_compose_01k0hqgh0eeqkb53wjxnast037.png
 
Ni ukweli usopingika, Wazalendo namba Moja Duniani popote pale ni Wanajeshi .


Rais ni Mwanasiasa, na Kwa sababu hiyo huyu atakuja na sera za Kulinda Nchi , kesho mwingine anakuja kubinafsisha na kuuza Rasilimali za Nchi
 
Hv kama rais ameshajua hatakiwi na anaowaongoza kwann tu asiseme jmn nchi yenu hii hapa muwekeni mnayemtaka 🤔🤔

Kipi n kigumu
Usitusemee wote, jisemee nafsi yako wewe. Still we love our best President, we call her "Mama Afrika"
 
Unafikiri Rais anatoa amri yeye binafsi!
Amiri Jeshi Mkuu ni kiongozi wa juu kabisa wa majeshi ya ulinzi na usalama wa taifa. Katika mataifa mengi duniani, wadhifa huu hushikiliwa na Rais wa Jamhuri au Mkuu wa Nchi. Yeye ndiye mwenye mamlaka ya juu ya kufanya maamuzi kuhusu matumizi ya majeshi, kuanzisha au kusitisha vita, kulinda amani na usalama wa taifa, pamoja na kuteua makamanda waandamizi wa vikosi vya ulinzi.
 
Back
Top Bottom