Wewe akili huna kama hilo tusi ulilotoa. Uko na mental illness.😂😂Komanyokooo
Umeelewa hoja yangu?Amiri Jeshi Mkuu ni kiongozi wa juu kabisa wa majeshi ya ulinzi na usalama wa taifa. Katika mataifa mengi duniani, wadhifa huu hushikiliwa na Rais wa Jamhuri au Mkuu wa Nchi. Yeye ndiye mwenye mamlaka ya juu ya kufanya maamuzi kuhusu matumizi ya majeshi, kuanzisha au kusitisha vita, kulinda amani na usalama wa taifa, pamoja na kuteua makamanda waandamizi wa vikosi vya ulinzi.
Hujatoa hoja, umeuliza swali mkuu.Umeelewa hoja yangu?
hata posa hajatoa!😂😂😂😂 Alafu bado kuna watu wanamwamini eti. 💊💉
Mh! kama hamumtaki si mkamtoe kwenye sanduku la kura!, unawezaje kusema "ameshajua" ikiwa ndani ya chama chake wamemteua aendeleze awamu nyengine!. hivyo ni zamu yenu kumkataa kwenye sanduku la hukumu.Hv kama rais ameshajua hatakiwi na anaowaongoza kwann tu asiseme jmn nchi yenu hii hapa muwekeni mnayemtaka 🤔🤔
Kipi n kigumu
Gwajima mjinga tuNi ukweli usopingika, Wazalendo namba Moja Duniani popote pale ni Wanajeshi .
Sanduku la kura la nchi ipi mkuu 🤔🤔...hilihili lilonajisiwaa🤔Mh! kama hamumtaki si mkamtoe kwenye sanduku la kura!, unawezaje kusema "ameshajua" ikiwa ndani ya chama chake wamemteua aendeleze awamu nyengine!. hivyo ni zamu yenu kumkataa kwenye sanduku la hukumu.
Unaujua utamu wa vietiee wewe ?Hv kama rais ameshajua hatakiwi na anaowaongoza kwann tu asiseme jmn nchi yenu hii hapa muwekeni mnayemtaka 🤔🤔
Kipi n kigumu
😀😀😀😀😀😀😀😀Kwa Sauti ya pole poleUnaujua utamu wa vietiee wewe ?
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀Kwa Sauti ya pole pole
Ndio mkuu na nipo hospital, vipi unataka kuja kunijulia hali?Wewe akili huna kama hilo tusi ulilotoa. Uko na mental illness.😂😂
Na cha kufurahisha zaidi, Askari wote HUPOKEA AMRI YA UZALENDO KUTOKA KWA AMIRI JESHI MKUU TU ambaye ni RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA!Ni ukweli usopingika, Wazalendo namba Moja Duniani popote pale ni Wanajeshi .
Rais ni Mwanasiasa, na Kwa sababu hiyo huyu atakuja na sera za Kulinda Nchi , kesho mwingine anakuja kubinafsisha na kuuza Rasilimali za Nchi
Hapana hatuelei, nahodha yuko imara sana.
Sio kweli; Rais ndiyo ana codes hatari zaidi - mfano tungekuwa na mabomu ya Nuclear Rais ndiyo ana code ya mwisho...Ni ukweli usopingika, Wazalendo namba Moja Duniani popote pale ni Wanajeshi .
Rais ni Mwanasiasa, na Kwa sababu hiyo huyu atakuja na sera za Kulinda Nchi , kesho mwingine anakuja kubinafsisha na kuuza Rasilimali za Nchi
Polepole ametufumbua macho wana sisim. Amesema, walipitishwa kihuni. Hao waliopitishwa kihuni amewashauri kwamba waone aibu na tayari wamezingatia hilo, wameona aibu.Mh! kama hamumtaki si mkamtoe kwenye sanduku la kura!, unawezaje kusema "ameshajua" ikiwa ndani ya chama chake wamemteua aendeleze awamu nyengine!. hivyo ni zamu yenu kumkataa kwenye sanduku la hukumu.
Mkuu achana na wajinga hao ambao hata mgambo hawajawahi pita lakini wanajifanya wajuzi mambo ya jeshiSio kweli; Rais ndiyo ana codes hatari zaidi - mfano tungekuwa na mabomu ya Nuclear Rais ndiyo ana code ya mwisho...
Tusisidanganyane kisa aliyepo hawampendi au haumpendi. Rais ndiye raia namba moja na ndiye mzalendo namba moja.
Mh! kama hamumtaki si mkamtoe kwenye sanduku la kura!, unawezaje kusema "ameshajua" ikiwa ndani ya chama chake wamemteua aendeleze awamu nyengine!. hivyo ni zamu yenu kumkataa kwenye sanduku la hukumu.
amekufanya nini aisee mbona umeongea kwa uchungu sana.Gwajima mpumbav sana