Salamu kwa Askofu Gwajima

Salamu kwa Askofu Gwajima

Nani alimteua, form alichukua wapi na kikao Gani kilimjadili, hayo ni maneno ya polepole
Sio lazima fomu kikao cha juu cha maamuzi ni mkutano mkuu

Mtu akipendekeza jina na mkutano mkuu ukaridhia hahitaji fomu tena
 
Fahamu UKWELI huu utakusaidia sana na usipotoshe watu kwa bandiko lako hili:
Ni ukweli usopingika, Wazalendo namba Moja Duniani popote pale ni Wanajeshi .


Rais ni Mwanasiasa, na Kwa sababu hiyo huyu atakuja na sera za Kulinda Nchi , kesho mwingine anakuja kubinafsisha na kuuza Rasilimali za Nchi tambua hili litakusaidia ili tusiwe na majeshi yaliyojaa wajinga na wabinafsi wasioweza kutetea Taifa hili hata linapofilia kwenye uozo na ufisadi wa kutisha.
 
Mkuu achana na wajinga hao ambao hata mgambo hawajawahi pita lakini wanajifanya wajuzi mambo ya jeshi
Mkuu, upunzani unaingizwa mkenge sana. kama kuna Rais ambaye wapinzani wanatakiwa wafanye chini juu aendelee basi ni SSH. SSH pekee ndiye Rais kutoka CCM kwa sasa anayeweza kuwapa wapinzani reforms za kueleweka (anazungumzika na kuna vitu ni rahisi kuelewana - ni kweli saiz kuna shida kidogo na upinzani kwa sababu labda zilizo nje ya uwezo wake) lakini baada ya SSH - Rais ajaye kama atatoka CCM atakuwa mtata balaa - reforms zitazungumzika baada ya miaka 10. Watu ni kama wanazisahau akili za kina pole pole na wahafidhina wengine ndani y Chama.

Utakumbuka JK alikaribia kabisa kuipa nchi katiba bora - lakini nini kilitokea??
Magufuli alipoingia hakutaka kabisa kusikia katiba
SSH kaweka kama ajenda kwenye ilani - na anaweza kujistress kiasi (kama akishinda huu mvutano maana yake itamfanya acconsolidate power zaidi kwenye chama) maana yake itakuwa ni rahisi kunegotiate naye kupata atleast vitu vya kueleweka.

Baada ya SSH ajaye atakuwa moto sana... mark this comment.. kama atafeli saiz maana yke watabeba chama chao na watappeal kwa watu kama alivyofanya JPM (no nonsense na upinzani na kujiweka karibu zaidi na watu - watu wataanza kuimba aongezewe) - upinzani utarudi nyuma hatua 100 zaidi..
 
Back
Top Bottom