Salamu hizi zikufikie wewe mwana MMU

Salamu hizi zikufikie wewe mwana MMU

Duuu namba 13 ni pigo acha kabisa ofisini huwa wanavalishwa wana kaaa nazoooo miaka then wanaamua kuvua mpaka inatia huruma ukimuuliza anakwambia ilikuwa ya urembo yaani.

Ni janga hilo
 
Wewe malaika usie na mabawa upo kwenye sehemu gani ya salamu hizo.......???
 
-SSafi 😀😀😀😀 namba 10 nimekaa mimi.:thumbup:
 
Habari zenu mnaonyima papuchi mkidhani et ndo mbinu ya kuboost ndoa.

Ndaaga malafyalee malaika mimi.
 
Habari zenu wadada mnaosingizia wanaume ujauzito kwa kuona tuu ana uwezo zaidi ya mwenye nayo.
 
Back
Top Bottom